sawa dada, fanya hivi, nunua piki pibodaki mkabidhi kijana kwa makubaliano kuwa baada ya muda fulani litakuwa la kwake(huo muda uzingatie return ya hiyo biashara). Kwa mfano tuassume baada ya mwaka utamwachia, kama kijana atakuwa anakuletea 20000/day, tuassume atafanya kazi siku 6 katka wiki that means
Per week:120000.
Per month:480000.
Per year: 5,760,000.
Gharama za matengenezo na kila kitu itakuwa juu yake. B'aada ya mwaka piki piki yako itakuwa imezalisha zaidi ya mara 3 ya mtaji.