kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,980
- 3,635
Habarini wakuu, Ninaplan kufanya biashara ya ununuzi wa bidhaa za vyakula, usafi na vingine vya matumizi ya nyumbani kwa jumla kutoka kenya ,south Africa na Uarabuni
Mwenye kujua changamoto zake, Risk zilizopo na namna ya kuzitatua.
Unaweza specify kutokana na uzoefu wako either kenya to Tanzania etc.
Asanteni
Mwenye kujua changamoto zake, Risk zilizopo na namna ya kuzitatua.
Unaweza specify kutokana na uzoefu wako either kenya to Tanzania etc.
Asanteni