Biashara tiles ya Spain

Biashara tiles ya Spain

Spain katika historia haijawahi Kufanya biashara sana na Tanzania. Lakini ni nchi zenye opportunities nyingi sana kwa import export, si tiles tu pia Bidhaa zote za ujenzi, machine new Au used, vifaa vya kilimo vipya na used, vehicles, trucks, vinywaji, na kadhalika. Kwa sababu ni nchi ya Umoja wa Ulaya pia unahakikisha ubora wa Bidhaa. Tanzania inaweza export viungo (spices), ufuta, matunda ya kitropiko, sisal, samaki, nk. Sisi tuna direct contacts na tunazitafuta ofas nzuri. Kama ndugu yeyote anakuwa interested kujua zaidi Au angependa Kuimport Au kuexport kutoka Spain Au Tanzania tunaweza pia kuelewana. Mnaweza kuni PM Au kuandika hapa kwenye thread.
 
Nashkuru kwa maelezo yako tutafanya "test check" kabla ya kununua coz tunataka bidhaa ya quality kubwa kwa ajili finishing bora kabisaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom