Hii ni networking busness ni pasua kichwa kwa ujumla haifai ,nahii imetokana na kuangamizwa piryamids system hapa bongo kama ile deci, lakini wanaofanya hii network wanakata kuwa hii ni pyramid schemes, nikiangalia ni ile ile,hebu angalia mi nanunua kitabu kimoja ndo bidhaa kuu(kwahakika kitabu hichi hakina maana kama unatakakisoma na hakifai)kwa dola 18,unaita au kikukitangaza kitabu wana kuja wanne ama watano wana fanya mtindo huo,idadi inakwenda inatanuka hatia maalfu wameliwa pesa mtu mmoja amefaidi,yule mwenye mfumo we we utakaejiunga unamlisha unampa mshahara kila kitu. Wewe hutofaidika sana sana hela yako ya kitabu ya weza rudi ama isirudi,inaweza rudi kama ulio washaishi wakainunua hiyo bidhaa. Nakama wanayohiyo hela naujuavyo wabongo shida kibao mtu atoe hiyo elefu 36000 kirahisi.