Biashara njema: Tanzania yarusha rocket katika Orbit

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
Salaam...

Wakuu Hii inaweza Kuwa ni bishara njema kwa wa tz, usiku wa Jana kudamkia Leo nimeota. Serikali ya Tanzania imerusha rocket katika orbit kwa kusaidiwa na vijana wawili kutoka University Of Dar es salaam. Nilichopenda sana ktk hii ndoto ni ile logo ya TASA na bendera iliyobandikwa katika roketi. Et sehemu iliyorushwa ni pale ferry penye mnara wa kon.
 
Aisee hata ni ndoto njema huenda ikawa kweli, naona something is going on Laboratories
 
Mkuu,actually hiyo ni project yetu
Lakini umeota vibaya,haturushi Rocket kwenye Orbit

Hakuna rocket inayokaa kwenye Orbit

Tunachopeleka kule ni LOWASSA SPACE TELESCOPE[LST]

Magnification power yake ni mara 10000 ya Hubble telescope!
 
Mie kuna siku niliota kuwa Air Tanzania ndio shirika la ndege kubwa zaidi africa ikiwa na fleet size 119
 
Mwezi uliopita nliota kiwanda kile kilichotengeneza gari aina ya nyumbu hapa TZ kimefufuka kikiwa na teknolojia ya hali ya juu kabisa.
 
Hizi ni ishara za uzalendo kuota mambo mazuri kwa nchi yako maana yake unaipenda nchi yako na huwa unaifikiria sana... (lakini hii ni kama hutanii)

Mi mwenyewe niliwahi kuota nimetwa na magufuli ikulu akanipe majukumu fulani lqkini chaa ajabu nilipofika getini pale ikulu walizi walinitimua nilipo jaribu kuwafafanulia wakanishushia kipigo heavy mpaka nikapelekwa hospital nakuja kushtuka nikajikuta niko uswazi tu nimepiga mboji kali huku kwenye upande wa boxer pale juu network ikawa inaserch (midume najua imenielewa)..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom