Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,031
Umaskini kwa upande wako unaupima Vp? Na utajiri unaupima Vp?Kwa nini na wewe haujarithi ili uwe kama Mo?Najua hapa utanijibu kwamba baba yako hana mali za kukurithisha ambapo tutarudi palepale kwamba ni mtazamo wa kuanzia Mzazi hadi wewe mwenyewe ndio imeleta umaskini.
Asante manager maana Watu wanaangalia vitu nje nje tuHamna tajiri atakwambia ukweli wa mambo.
ndo shida ya waTz wakivimbiwa makande wanaropoka tu!!👿 " eti acha kulialia..fanya biashara.."vp kama hauna mtaji?Kumachawa ww biashara utaifanya bila mtaji unadhan wote wanaolalamika ajira hawana mawazo ya kufanya biashara kama mtu hana hata hela ya vocha jero na anaish kwao hiyo biashara anaifanyaje au ndo utaleta porojo za kuwa winga au siyo.
Hv mzabzab unanichukulia vipi arifu, zile aftano na lunch mpaka sasa sio chini ya laki tano 😎😂Hamna tajiri atakwambia ukweli wa mambo.
Kwenye ground mambo ni tafauti ni sawa mpira wa miguu kuucheza ukiwa nje ya uwanja ni rahisi ila ingia ucheze sasa ndio utaelewa dk 10 nyingi unaanza kuomba subHamna tajiri atakwambia ukweli wa mambo.
Tulia mwanwane mambo yameparanganyika hapaHv mzabzab unanichukulia vipi arifu, zile aftano na lunch mpaka sasa sio chini ya laki tano 😎😂
Hahaahaha unaelekezwa mambo taratbuTulia mwanwane mambo yameparanganyika hapa
Hili ni somo lingine pana ukihitaji darasa nitafute kwa muda wako ili mada yetu ya msingi isivurugike.Umaskini kwa upande wako unaupima Vp? Na utajiri unaupima Vp?
Ndio hatujui siri zao lakini tunachojua tu ni kwamba wamepambana kufikia pale walipo vingine havituhusuHamna tajiri atakwambia ukweli wa mambo.
Ajira ilikuwa rais 2000s, 2010s. After tjanmilango ikawa membambahata hiyo ajira sio rahisi kutoboa.
Kwa hiyo solution ni kupambana na changamoto au solution ni kuacha kabisa tusifanye?Kwenye ground mambo ni tafauti ni sawa mpira wa miguu kuucheza ukiwa nje ya uwanja ni rahisi ila ingia ucheze sasa ndio utaelewa dk 10 nyingi unaanza kuomba sub
Ni kweli kuajiriwa ni kutamu huo ni mtego au hongo ili usahau mambo yako binafsi.Kuajiriwa kutamu nyie acheni kabisa. Mtu unakula $25000 kwa mwezi ada watu wanakulipa 80% gari ya kampuni bonus kibao. Basi tuu sema vyuo vyetu vyeti vyake haviaminiki sana huko majuuu
Wewe unataka wakujali zaidi kivipi? Kukujali ni kukupa wewe mshahar kama huo wa 25,000 tena on time. Hiyo nduo kujali. Kukufukuza kwani huna mkataba?Ni kweli kuajiriwa ni kutamu huo ni mtego au hongo ili usahau mambo yako binafsi.
Baada ya kuhudumia kwa miaka kadhaa kisha wanakufukuza bila kujali ulitoa mchango wako kwa miaka mingapi
Eeh kabisa ata kufikia mshahara wa 25000 inabidi upambane mwanawaneNdio hatujui siri zao lakini tunachojua tu ni kwamba wamepambana kufikia pale walipo vingine havituhusu
Ooh unamaanisha ajira za Ulaya nilijua unaongelea bongo ambako mtu akistaafu hawezi hata kujinunulia kandambili za kuvaa.Wewe unataka wakujali zaidi kivipi? Kukujali ni kukupa wewe mshahar kama huo wa 25,000 tena on time. Hiyo nduo kujali. Kukufukuza kwani huna mkataba?
Kuajiriwa kutamu sie tunaona kuajiriwa kubaya kwa sababu tunajiriwa na waafrica wahindi na waarabu wenye roho mbaya.
Ukiajiriwa na mzungu au mjapan mambo mukide kabisa
Ata hapa bongo mbona watu wanalipwa millio 15 take home nyumba gari juu ya kampuni. Ni kwambu huku napo inabidi upambane na vitabu sana tuu ili upate hizo kazi.Ooh unamaanisha ajira za Ulaya nilijua unaongelea bongo ambako mtu akistaafu hawezi hata kujinunulia kandambili za kuvaa.
Kwa ulaya kidogo unafuu upo wenyewe wanajua kubalance mambo na ajira zao zinakuwa na bima nyingi kwa mfanyakazi kwa hiyo mfanyakazi anakuwa na uhakika wa kuishi maisha standard hata baada ya kustaafu
Rekebisha heading maana ni kama hujielewi!Kijana ukikosa ajira acha kulia lia tafuta biashara uwe unafanya.
Biashara ina hela sana