Biashara ni alternative ya wakosa ajira

Biashara ni alternative ya wakosa ajira

Kwa nini na wewe haujarithi ili uwe kama Mo?Najua hapa utanijibu kwamba baba yako hana mali za kukurithisha ambapo tutarudi palepale kwamba ni mtazamo wa kuanzia Mzazi hadi wewe mwenyewe ndio imeleta umaskini.
Umaskini kwa upande wako unaupima Vp? Na utajiri unaupima Vp?
 
Kuajiriwa kutamu nyie acheni kabisa. Mtu unakula $25000 kwa mwezi ada watu wanakulipa 80% gari ya kampuni bonus kibao. Basi tuu sema vyuo vyetu vyeti vyake haviaminiki sana huko majuuu
 
Kumachawa ww biashara utaifanya bila mtaji unadhan wote wanaolalamika ajira hawana mawazo ya kufanya biashara kama mtu hana hata hela ya vocha jero na anaish kwao hiyo biashara anaifanyaje au ndo utaleta porojo za kuwa winga au siyo.
ndo shida ya waTz wakivimbiwa makande wanaropoka tu!!👿 " eti acha kulialia..fanya biashara.."vp kama hauna mtaji?
 
Hamna tajiri atakwambia ukweli wa mambo.
Kwenye ground mambo ni tafauti ni sawa mpira wa miguu kuucheza ukiwa nje ya uwanja ni rahisi ila ingia ucheze sasa ndio utaelewa dk 10 nyingi unaanza kuomba sub
 
Biashara ikikubali unaona ajira kama mateso. Angalia mwisho wa siku unaingiza ngapi na mfanya kazi aangalie mwisho wa siku anaingiza ngapi. Tuseme ajira ni uhakika wa maisha japo kipato kidogo, biashara ukiwa mzima unafurahi sana.
 
Kwenye ground mambo ni tafauti ni sawa mpira wa miguu kuucheza ukiwa nje ya uwanja ni rahisi ila ingia ucheze sasa ndio utaelewa dk 10 nyingi unaanza kuomba sub
Kwa hiyo solution ni kupambana na changamoto au solution ni kuacha kabisa tusifanye?
 
Kuajiriwa kutamu nyie acheni kabisa. Mtu unakula $25000 kwa mwezi ada watu wanakulipa 80% gari ya kampuni bonus kibao. Basi tuu sema vyuo vyetu vyeti vyake haviaminiki sana huko majuuu
Ni kweli kuajiriwa ni kutamu huo ni mtego au hongo ili usahau mambo yako binafsi.
Baada ya kuhudumia kwa miaka kadhaa kisha wanakufukuza bila kujali ulitoa mchango wako kwa miaka mingapi
 
Wewe unataka wakujali zaidi kivipi? Kukujali ni kukupa wewe mshahar kama huo wa 25,000 tena on time. Hiyo nduo kujali. Kukufukuza kwani huna mkataba?
Kuajiriwa kutamu sie tunaona kuajiriwa kubaya kwa sababu tunajiriwa na waafrica wahindi na waarabu wenye roho mbaya.
Ukiajiriwa na mzungu au mjapan mambo mukide kabisa
 
Ooh unamaanisha ajira za Ulaya nilijua unaongelea bongo ambako mtu akistaafu hawezi hata kujinunulia kandambili za kuvaa.
Kwa ulaya kidogo unafuu upo wenyewe wanajua kubalance mambo na ajira zao zinakuwa na bima nyingi kwa mfanyakazi kwa hiyo mfanyakazi anakuwa na uhakika wa kuishi maisha standard hata baada ya kustaafu
 
Ata hapa bongo mbona watu wanalipwa millio 15 take home nyumba gari juu ya kampuni. Ni kwambu huku napo inabidi upambane na vitabu sana tuu ili upate hizo kazi.

Sasa take home ya mil 15 kwa bongo hii mkataba say wa miaka 3 sii ulishayapatia maisha
 
Back
Top Bottom