L Leviz Member Joined Feb 18, 2024 Posts 70 Reaction score 104 Feb 21, 2024 #1 Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30
Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30
M Mech Senior Member Joined Nov 13, 2017 Posts 149 Reaction score 351 Feb 22, 2024 #3 Leviz said: Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30 Click to expand... Hamna uhalisia hapo.
Leviz said: Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30 Click to expand... Hamna uhalisia hapo.
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,399 Reaction score 29,338 Feb 23, 2024 #4 Wale wadau wa betting hebu njooni mumpe ODDS huyu mwamba.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,634 Feb 23, 2024 #5 Leviz said: Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30 Click to expand... Nenda liwale, sumbawanga au kigoma ndanindani ukatengenezwe. Hiyo milioni 30 unayoitaka utaipata ndani ya miezi miwili na utapata zaidi ya hapo ukifuatisha masharti vizuri.
Leviz said: Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30 Click to expand... Nenda liwale, sumbawanga au kigoma ndanindani ukatengenezwe. Hiyo milioni 30 unayoitaka utaipata ndani ya miezi miwili na utapata zaidi ya hapo ukifuatisha masharti vizuri.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,447 Reaction score 45,020 Feb 23, 2024 #6 Faida kwenye biashara huwa range ya 15% hadi 30% ya mtaji ukiowekeza kwa mwezi ama mwaka. Sasa wewe jamaa unataka faida ya zaidi ya mara 60 ya mtaji wako. HIlo ki biashara halipo.
Faida kwenye biashara huwa range ya 15% hadi 30% ya mtaji ukiowekeza kwa mwezi ama mwaka. Sasa wewe jamaa unataka faida ya zaidi ya mara 60 ya mtaji wako. HIlo ki biashara halipo.
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 6,976 Reaction score 10,366 Feb 27, 2024 #7 Leviz said: Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30 Click to expand... Wee jamaa🤣🤣🤣
Leviz said: Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30 Click to expand... Wee jamaa🤣🤣🤣
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,928 Reaction score 828,569 Feb 27, 2024 #8 Leviz said: Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30 Click to expand... Labda bangi na faida haitafika huko
Leviz said: Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30 Click to expand... Labda bangi na faida haitafika huko
B billionaire 2 New Member Joined Mar 4, 2024 Posts 4 Reaction score 2 Mar 5, 2024 #9 Angalia mpango wako kwanza,
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,780 Reaction score 184,635 Mar 5, 2024 #10 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 15,949 Reaction score 18,386 Mar 7, 2024 #11 KAZI ni kipimo cha utu
Mama paradigm JF-Expert Member Joined Apr 17, 2010 Posts 393 Reaction score 796 Mar 7, 2024 #12 Aiseeee
Premij canoon JF-Expert Member Joined May 27, 2018 Posts 1,275 Reaction score 2,970 Mar 7, 2024 #13 Leviz said: Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30 Click to expand... Nadhani unamaanisha betting na sio biashara wala uwekezaje...
Leviz said: Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30 Click to expand... Nadhani unamaanisha betting na sio biashara wala uwekezaje...