hahaaa haki sawa siku hizi
ha ha haha lazima usawa upatikane .... nimeipenda hii,... mshana jr naomba vitatu kimoja cheupi, blue na nyeuli
i mean nyeusiHahahahaahaaaaaa
sawa binamuMshana anakupa mzigo pesa nashika mimi
sawa binamu
ndiyo mtaniKinyama cha hamu