Biashara Makuru Dodoma

Biashara Makuru Dodoma

Mom Cleo

New Member
Joined
Jul 18, 2019
Posts
4
Reaction score
2
Habari!

Kwa wanaoishi maeneo ya Makuru hapa Dodoma, naomba kujua Kama ni kunafaa kwa biashara ya pombe kali kama konyagi, k vant, blak Gn na kuendelea za kupima lakin, je hilo eneo linafaa kwa biashara hio?

Au Kuna biashara tofauti inayofaa zaidi eneo hilo?

ASANTE
 
Hapafai nenda Changombe kule kuna walevi wakufa mtu
 
Back
Top Bottom