C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
mwaka 2012 naona watu wamesherehekea kwa mbwembwe zote kila mtu ana malengo yake ya kuyatimiza mwaka huu kuna waliopanga kuoa , ku graduate pamoja na kupata kazi nzuri ila mimi malengo yangu ya mwaka 2012 ni biashara
kiukweli huu ni mwaka ambao ni lazima tufanikiwe hasa kwa sisi wafanyabiashara hata kama sio kwa asilimia mia moja ila ni lazima tuwe tumepiga hatua mbele na tunataka kuhakikisha kuwa tunajenga brand name yetu kibiashara...
Kwa sababu siku zote najiuliza kwanini makampuni ya wazungu??
Kwanini baclays?
Kwanini bp?
Kwanini tui ag?
Na wakati sisi tuna raslimali kibao tu hapa???
Utalii
uvuvi
madini
misitu
hivi vyote tunashindwa
hapana bwana
nasisi watanzania tunaweza kuwa na kampuni yenye revenue
2 bil usd kwa mwaka
yes tunaweza mimi, wewe yule na ninyi tukifanya kazi kwa bidii tunaweza
mimi, wewe yule na ninyi tukishirikiana tunaweza
mimi, wewe yule na ninyi tukipendana tunaweza
sasa ni muda wa sisi kuamka
ni muda wa sisi kujumuika pamoja
tuachane na habari za siasa ...
Kwamba nchi yetu mbaya
uchumi mbovu
tuanze sisi kwa kuendesha makampuni yetu wenyewe
tuwe wadadisi
tuwe very very very very creative
tusome sana vitabu
tupunguze starehe
naamini tutaweza
naamini tutasonga mbele
huu ni mwaka wa kujenga c.t.u brand
naamini tukimuweka mungu mbele tutafanikiwa ni hayo tu
2 january 2012.... Ni siku ya mapinduzi ya biashara......
Lazima tufanikiwe.....
Thanks
c.t.u team