Ina depend mkuu unataka video za ubora gani na picha za ubora upi na camera unazotaka ni used au mpya
Ila kwa haraka camera kali kwa picha ni kuanzia canon mark 5D iii ambayo kwa used unaweza ipata kwa 2.5m plus lens
Pia usisahau kuna
1:Speed light
2: light
3:reflector
5. Printer kwa ajili ya picha ambayo hii utakuwa unawapiga watu picha wakati wa chakula wewe unaziprint picha zote watu wakitoka tu ukumbini wanakutana na picha zao ambapo picha ya chini unaweza kuiuza kwa 5k
Kimaskini unaweza kuanza hata na 1.5m au 2m ambapo unaweza kupata mark 5d ii na baadhi ya vngne muhimu vya kuanzia