EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
- Thread starter
- #41
i think risk outweighs faida!!..ila warning imetulia
Una uhakika? Kubakwa na mtu ambaye kuna uwezekanao mkubwa wa kuwa na HIV/AIDS na risks nilizoziweka hapo, which is more risk?
Unatuma offer yako. What is your offer.
Mie sio rapist bana ndio uitumie kwangu.
huku kwetu inapatikana wapi?
Location, location, location
Uko wapi mwaya, inawezwatumwa by special deliver hata kama uko Tandahimba.
Nimemzuia kwanza kununua, isije ikamjeruhi muuzaji Si eti EMT?
Kwani mie mbakaji?
Hata sijaelewa, Kiinglish kinanipiga chenga. St. Kayumba......
Kama unataka tafsiri tafadhali omba msaada.
Tunawapenda wateja wote.
EMT, biashara yako inaelekea kuzusha ya kuzusha!
Ukiona hivyo jua ni hot cake.
eeh mi naomba unikopeshe nitalipa baada ya kupata mkopo unasemaje muuzaji?
Sorry, hatukopeshi.
Hata kwake huyo huyo tunaweza tumia
kwani tulipanga kwenda kuvamiana huko?
Kama kutoa ni kutoa kwa hiyari, asilazimishe
akileta chokochoko ana nasa mwenyewe...
Heee. Yaani hata mwenye biashara amekuwa target?
Itabidi niongeze warning nyingine