Biashara katika kipindi cha Corona

Hamisi Mhoja

Member
Nov 22, 2019
22
23
Jamani nina Tsh. Milioni 5 na nina mpango wa kununua Mpunga.

Je, kutoka na ugonjwa huu nitapata faida baada ya Miezi 6?

Naomba ushauri Wafanyabiashara wenzangu.
 
Jamani nina Tsh. Milioni 5 na nina mpango wa kununua Mpunga.

Je, kutoka na ugonjwa huu nitapata faida baada ya Miezi 6?

Naomba ushauri Wafanyabiashara wenzangu.
ulishawah kufanya biashara kabla ya nafaka..?
 
Kachukue mzigo wa Nazi , msimu huu wa Ramadhan utauza sana

Hata business ya mchele ipo safi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom