Biashara inataka moyo sana

Ukweli mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu! Sisi tunsojidai kufanya haki bin haki hatutoboi! Biashara nyingi zikichunguzwa zinatumika kupitisha hela chafu! Wewe upo pale umekomaa na genge lako hutoboi!
 
Biashara bongo ngumu. Sababu mojawapo ni umaskini wa watanzania wengi. Watu hawana pesa za kutosha kufanya manunuzi, kila shilingi inayopatikana ina matumizi na haitoshi. Mtu anaweza kukata hata miezi miwili/mitatu bila kununua shati, suruali au kiatu kipya!
 
Point iko hapa
 

Wewe siyo mfanyabiashara

Mfanyabiashara anakua katika biashara yake ikiwezekana kufikia kwenye production, kWa sababu anakua anaelewa vyema anachokifanya
 
Wewe siyo mfanyabiashara

Mfanyabiashara anakua katika biashara yake ikiwezekana kufikia kwenye production, kWa sababu anakua anaelewa vyema anachokifanya
Nimemshangaa...principle kubwa ya kuwa mfanyabiashara mahiri ni kuwa na consistency kwny aina moja ya biashara uimudu vyema na uanzishe branchs zake sehemu tofauti tofauti...
 
Mbona wahindi wanafanya biashara moja miaka na miaka.
 
Pana ndugu yangu alipokua anafanya kazi akiomba umpe milioni anapiga simu baada ya nusu saa umpe alikua anafanya biashara ya Logistic ukimchelewesha kumkopesha anakuona kama umemnyima hivi baadae alisimamishwa kazi akasema hawezi kurudi kazini ngoja asimamie gari zake daah alienda mpaka akauza zote sasa hivi karudi kazini anaheshimu hela kuliko maelezo na zile mambo za kusumbua hela akiambiwa hana anaelewa kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…