Bia zimepanda bei

jana wameniuzia kilimanjaro 2200. wamepandisha na mwaka wa fedha haujaisha!
 
Daah.imeniuma et had soda Imepanda bie.naomba nijue kama na maj nayo yatapanda bei
 
Kwa hiyo wewe ukibadilishana kitu na mtu lazima kilingane na chewewe mmebadilishana?

Kama ni kibiashara ndio lazima thamani ilingane kama sio kibiashara vyovyote vile ni poa
 
I had no information before,nipo nazenguana na barmed hapa kaleta bill siilewi, nishagonga ndovu 5 nipo na 10 tu.
 
nilikua na elfu kumo nikapata bia nne tu. hasira napeleka kwa waif
 
Yakawaida mkuu huku mbeeez beach fishfish tulishaanza uziwa za 3000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…