Nyanswe Nsame
Senior Member
- Jul 9, 2019
- 158
- 175
Uongo huo uchafu uko juu ya meza.
Ni ngumu sana uchafu kupita kwenye distillery ni 0.000000001 %
Ina maana hata bunge kutunga sheria zinazo husu "MANUFACTURERS LIABILITIES" na zile kanuni za TFDA nao walitumwa na SBC??Umetumwa na Serengeti?.Kawaambie hatuachi kunywa Safari lager
Acheni ubishi tbl wanafeli sana siku hizi..
Bia zao standard ipo chini sana,
Chupa zinapiga kutu sana kwenye mifuniko..
Na uchafu tulishakuta mara kibao.
Ila siiachi kunywa safari
piga picha na kizibo chake kikiwepo waone ili wasiseme unawaharibia biasharaBia hii ya kampuni ya TBL ikiwa na uchafu ndani yake
Hii ni moja ya bia inayodhalishwa na TBL ikionekana kuwa na uchafu ndani yake huku ikiwa sokoni kabisa.
Kampuni hii bia zao zimekuwa na kasoro nyingi hususani kukutwa na Watu uchafu mara kwa mara na hii ni moja ya chupa ambazo zinadaiwa uchafu.
Mamlaka zinazohusika ni bora zikaanza kufanya uchunguzi mapema kabla madhara hayajapatikana kwa wanywaji.
Kwa taarifa za ndani watu hawa nasikia wanaviburi Sana wakiambiwa kuhusu mambo kama haya, nina Imani kwa serikali hii itachukua hatua kwani kupitia ushahidi huu inatosha kuwachukulia hatua.
Kwa kua ukikuepo wakati anaweka uchafu kwa taarifa yako sitakunywa tena huo bia toka hill kampuni kumbe wanatunywesha uchafu sinywi ng'o.Roho ya korosho
Pole kama umeachishwa kazi na TBL
Chuki na kinyongo sio suluhisho
Huwezi kuharibu biashara inayoingiza kodi ukasikilizwa wewe ongelea mambo ya siasa hasa Chadema na ccm
Mambo ya biashara yana wenyewe
Umeweka uchafu mwenyewe ili kumuharibia aliyekutimua kazi hapo TBL umefail
Distiler ipi mkuuUongo huo uchafu uko juu ya meza.
Ni ngumu sana uchafu kupita kwenye distillery ni 0.000000001 %
Donoghoue v Stevenson....Ina maana hata bunge kutunga sheria zinazo husu "MANUFACTURERS LIABILITIES" na zile kanuni za TFDA nao walitumwa na SBC??
These issues are in place in the field of industry (manufacturing) that why authorities enacted laws to control or moderate standards. The issues cropped and became famous even in judiciary system since 1932.
REMEMBER; TBL also are manufacturers, it may happen. However am not concluding that it has happened thereof.
Donoghoue v Stevenson....