Bia hii ya kampuni ya TBL ikiwa na uchafu ndani yake

Pamoja na hayo nitaendelea kunywa bia zao labda wafunge viwanda vyao huo uchafu unaongeza ladha bia inakuwa tamu sana
 
Acheni ubishi tbl wanafeli sana siku hizi..

Bia zao standard ipo chini sana,
Chupa zinapiga kutu sana kwenye mifuniko..

Na uchafu tulishakuta mara kibao.

Ila siiachi kunywa safari
Kwa hyo ndio unataka kusema yule mende aliingizwa kule kiwandani.
Mbona hiyo chupa haina kizibo?
 
Kwa hyo ndio unataka kusema yule mende aliingizwa kule kiwandani.
Mbona hiyo chupa haina kizibo?
Uchafu kama mende si rahisi..ila tulishakuta punje ya muhindi,kifuniko kilichokunjwa na kuingizwa ndani pia tulishakuta...mda mwingine chupa zikirudishwa zinaweza kuwa na uchafu ndani,na kwenye kuoshwa zisioshwe vizuri
 
Hii chupa kama ushahidi haitoshi maana haionekani hadi mfuniko, so ni vigumu kuamua kama iko wazi au imefungwa na kama iko wazi itakuwa imelala wazi thats why wadudu na uchafu viko ndani.
 
Chupa haijafunguliwa wakati inaonekana haijajaa hadi juu
Kwa mjibu wa mtoa taarifa na uhakika wa sauti kutoka kwa viongoiz wa TBL, ni kwamba waliichukua chupa hii na kuichunguza wakabaini haijafunguliwa hivyo ukisema umewekwa na mtu huku chupa imefungwa utakuwa haufahamu unachokiongea.

Pole wengine hatutumwi kiongozi
 
Bia hii ya kampuni ya TBL ikiwa na uchafu ndani yake

Hii ni moja ya bia inayozalishwa na TBL ikionekana kuwa na uchafu ndani yake huku ikiwa sokoni kabisa.

Kampuni hii bia zao zimekuwa na kasoro nyingi hususani kukutwa na Watu uchafu mara kwa mara na hii ni moja ya chupa ambazo zinadaiwa uchafu.

Mamlaka zinazohusika ni bora zikaanza kufanya uchunguzi mapema kabla madhara hayajapatikana kwa wanywaji.

Kwa taarifa za ndani watu hawa nasikia wanaviburi Sana wakiambiwa kuhusu mambo kama haya, nina Imani kwa serikali hii itachukua hatua kwani kupitia ushahidi huu inatosha kuwachukulia hatua.
Kwamba bia ni transparent au
 
Roho ya korosho
Pole kama umeachishwa kazi na TBL
Chuki na kinyongo sio suluhisho

Huwezi kuharibu biashara inayoingiza kodi ukasikilizwa wewe ongelea mambo ya siasa hasa Chadema na ccm

Mambo ya biashara yana wenyewe

Umeweka uchafu mwenyewe ili kumuharibia aliyekutimua kazi hapo TBL umefail

Kuna wakati ukifunga mdomo unaonekana unabusara sana,

Sijui ni maisha yetu magumu au stress za majumbani ndo zinatufanya kuwa hivi,sijui kwa kweli

Ubishi usiokuwa na maana na kujifanya mjuaji wakati huna unachokijua

Hili la uchafu kwangu sio geni kwa hivi viwanda vyetu

Uchafu huwa unakuwepo sana nimekutana na situation zaidi ya mara moja kwenye chupa za soda

Next time usikimbilie tu kubisha kama hujui kaa kimya

Uongo huo uchafu uko juu ya meza.
Ni ngumu sana uchafu kupita kwenye distillery ni 0.000000001 %

Mkuu bhana unajua unachokiongea lakini?

niliwahi kukutana na mswaki ndani ya soda aina ya tangawizi kampuni ya coca mwanza

Hao ndo kabisa soda zao sinywi shaacha kitambo sana,

Niliwahi kukuta kizibo kipo ndani nikasema baaasi sitarudia


Kwakuwa umesema wewe,.naweza kuamini.

Uchafu upo sana kwa hizi chupa hasa hizi kampuni zetu

Uchafu kama mende si rahisi..ila tulishakuta punje ya muhindi,kifuniko kilichokunjwa na kuingizwa ndani pia tulishakuta...mda mwingine chupa zikirudishwa zinaweza kuwa na uchafu ndani,na kwenye kuoshwa zisioshwe vizuri

Mkuu umesema ushakutana na punje ya mahindi,kifuniko kilichokunjwa vipi unashindwa vipi kukutana na mende?

Kumkuta mende inawezekana na kama aliingia mapema kwenye chupa kabla haijasafishwa
 
Uchafu kama mende si rahisi..ila tulishakuta punje ya muhindi,kifuniko kilichokunjwa na kuingizwa ndani pia tulishakuta...mda mwingine chupa zikirudishwa zinaweza kuwa na uchafu ndani,na kwenye kuoshwa zisioshwe vizuri
Hicho kitu hakiwezekani miaka 100.
Mimi niliwah kufanya kazi Tbl najua process zote kuanzia chupa inapooshwa,inapojazwa hadi kupakiwa kwenye kreti.
Ukiona hivyo ujue Kuna hasimu wao anawafanyia uhujumu makusudi ili kuwaharibia soko.
 
Mfano pale wanapochambua chupa kwa ajili ya kwenda kusafishwa..chupa yenya mfuniko ndani ikisahaulika ikaingia basi hata isafishwe vip namashine ule mfuniko hautoki ndani mule..
Uliza kwanza wewe.
Mtambo wa kuosha chupa TBL unaujua au unausikia!!!?
Hata punje ya mchele ikiwa kwenye chupa hiyo chupa inapigwa pembeni.
Tembelea uone
 
Kuna siku ata kwako au kwenu chakula kinaungua kidogo au chumvi inazidi kidogo..kitu cha msingi ni kushughulikia tatizo ndani ya muda na kupunguza uwezekano wa kijirudia..mambo ya Kaizen yanawahusu
Kaizen inaingiaje hapo !! anyway hongereni kwa TPM na 5S.
 
Usafi huko sio jambo kubwa nafikiri

Hapo kama ungepeleka malalamiko kwa wahusiki nafikiri faini au hata warning ingewahusu na huenda ni uvivu wa wafanyakazi bila kuziangalia vizuri

Sijui mitambo Yao ikoje likija suala la technology maana kuna system zingine hiyo chupa ingesukumwa na mitambo na kugundulika
 
Back
Top Bottom