Nyanswe Nsame
Senior Member
- Jul 9, 2019
- 158
- 175
Bia hii ya kampuni ya TBL ikiwa na uchafu ndani yake
Hii ni moja ya bia inayozalishwa na TBL ikionekana kuwa na uchafu ndani yake huku ikiwa sokoni kabisa.
Kampuni hii bia zao zimekuwa na kasoro nyingi hususani kukutwa na Watu uchafu mara kwa mara na hii ni moja ya chupa ambazo zinadaiwa uchafu.
Mamlaka zinazohusika ni bora zikaanza kufanya uchunguzi mapema kabla madhara hayajapatikana kwa wanywaji.
Kwa taarifa za ndani watu hawa nasikia wanaviburi Sana wakiambiwa kuhusu mambo kama haya, nina Imani kwa serikali hii itachukua hatua kwani kupitia ushahidi huu inatosha kuwachukulia hatua.