Bia hii ya kampuni ya TBL ikiwa na uchafu ndani yake

Nyanswe Nsame

Senior Member
Jul 9, 2019
158
175
Bia hii ya kampuni ya TBL ikiwa na uchafu ndani yake

Hii ni moja ya bia inayozalishwa na TBL ikionekana kuwa na uchafu ndani yake huku ikiwa sokoni kabisa.

Kampuni hii bia zao zimekuwa na kasoro nyingi hususani kukutwa na Watu uchafu mara kwa mara na hii ni moja ya chupa ambazo zinadaiwa uchafu.

Mamlaka zinazohusika ni bora zikaanza kufanya uchunguzi mapema kabla madhara hayajapatikana kwa wanywaji.

Kwa taarifa za ndani watu hawa nasikia wanaviburi Sana wakiambiwa kuhusu mambo kama haya, nina Imani kwa serikali hii itachukua hatua kwani kupitia ushahidi huu inatosha kuwachukulia hatua.

IMG20190612171406.jpg
 
Roho ya korosho
Pole kama umeachishwa kazi na TBL
Chuki na kinyongo sio suluhisho

Huwezi kuharibu biashara inayoingiza kodi ukasikilizwa wewe ongelea mambo ya siasa hasa Chadema na ccm

Mambo ya biashara yana wenyewe

Umeweka uchafu mwenyewe ili kumuharibia aliyekutimua kazi hapo TBL umefail
 
Uongo huo uchafu uko juu ya meza.
Ni ngumu sana uchafu kupita kwenye distillery ni 0.000000001 %
 
Uongo huo uchafu uko juu ya meza.
Ni ngumu sana uchafu kupita kwenye distillery ni 0.000000001 %

Kwa mjibu wa mtoa taarifa na uhakika wa sauti kutoka kwa viongoiz wa TBL, ni kwamba waliichukua chupa hii na kuichunguza wakabaini haijafunguliwa hivyo ukisema umewekwa na mtu huku chupa imefungwa utakuwa haufahamu unachokiongea.

Pole wengine hatutumwi kiongozi
 
Umetumwa na Serengeti?.Kawaambie hatuachi kunywa Safari lager
Ina maana hata bunge kutunga sheria zinazo husu "MANUFACTURERS LIABILITIES" na zile kanuni za TFDA nao walitumwa na SBC??

These issues are in place in the field of industry (manufacturing) that why authorities enacted laws to control or moderate standards. The issues cropped and became famous even in judiciary system since 1932.

REMEMBER; TBL also are manufacturers, it may happen. However am not concluding that it has happened thereof.
 
Acheni ubishi tbl wanafeli sana siku hizi..

Bia zao standard ipo chini sana,
Chupa zinapiga kutu sana kwenye mifuniko..

Na uchafu tulishakuta mara kibao.

Ila siiachi kunywa safari

Angalia hiyo video kiongozi alafu uendelee kunywa hiyo bia yako

niliwahi kukutana na mswaki ndani ya soda aina ya tangawizi kampuni ya coca mwanza
 
Bia hii ya kampuni ya TBL ikiwa na uchafu ndani yake

Hii ni moja ya bia inayodhalishwa na TBL ikionekana kuwa na uchafu ndani yake huku ikiwa sokoni kabisa.

Kampuni hii bia zao zimekuwa na kasoro nyingi hususani kukutwa na Watu uchafu mara kwa mara na hii ni moja ya chupa ambazo zinadaiwa uchafu.

Mamlaka zinazohusika ni bora zikaanza kufanya uchunguzi mapema kabla madhara hayajapatikana kwa wanywaji.

Kwa taarifa za ndani watu hawa nasikia wanaviburi Sana wakiambiwa kuhusu mambo kama haya, nina Imani kwa serikali hii itachukua hatua kwani kupitia ushahidi huu inatosha kuwachukulia hatua.
piga picha na kizibo chake kikiwepo waone ili wasiseme unawaharibia biashara
 
Roho ya korosho
Pole kama umeachishwa kazi na TBL
Chuki na kinyongo sio suluhisho

Huwezi kuharibu biashara inayoingiza kodi ukasikilizwa wewe ongelea mambo ya siasa hasa Chadema na ccm

Mambo ya biashara yana wenyewe

Umeweka uchafu mwenyewe ili kumuharibia aliyekutimua kazi hapo TBL umefail
Kwa kua ukikuepo wakati anaweka uchafu kwa taarifa yako sitakunywa tena huo bia toka hill kampuni kumbe wanatunywesha uchafu sinywi ng'o.
 
Mbona umepiga picha yanye utata je kama umefungua ww ndio umeweka huo uchafu???? Weka picha nzima
 
Kuna siku ata kwako au kwenu chakula kinaungua kidogo au chumvi inazidi kidogo..kitu cha msingi ni kushughulikia tatizo ndani ya muda na kupunguza uwezekano wa kijirudia..mambo ya Kaizen yanawahusu
 
Ina maana hata bunge kutunga sheria zinazo husu "MANUFACTURERS LIABILITIES" na zile kanuni za TFDA nao walitumwa na SBC??

These issues are in place in the field of industry (manufacturing) that why authorities enacted laws to control or moderate standards. The issues cropped and became famous even in judiciary system since 1932.

REMEMBER; TBL also are manufacturers, it may happen. However am not concluding that it has happened thereof.
Donoghoue v Stevenson....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom