Otto Raphael Member Dec 31, 2012 9 10 Nov 8, 2017 #1 Hii mambo ndo habari ya mjini huku Southern highlands kutokakana na uchumi wa sasa... Hebu toa neno lolote kuhusu hii mambo
Hii mambo ndo habari ya mjini huku Southern highlands kutokakana na uchumi wa sasa... Hebu toa neno lolote kuhusu hii mambo
Kirokonya JF-Expert Member Jun 5, 2017 2,280 7,535 Nov 8, 2017 #3 Bingwa za awali ndio zilikuwa bingwa za ukweli, sasa hivi togwa tu.
Kanali G JF-Expert Member Oct 21, 2013 9,902 14,378 Nov 12, 2017 #4 Nakumbuka hiyo bia ilisababishaga sister duu mmoja masela wajisevie baada ya kulewa na network kukata
Nakumbuka hiyo bia ilisababishaga sister duu mmoja masela wajisevie baada ya kulewa na network kukata