Zero_zeerah Member Joined Dec 31, 2012 Posts 9 Reaction score 10 Nov 8, 2017 #1 Hii mambo ndo habari ya mjini huku Southern highlands kutokakana na uchumi wa sasa... Hebu toa neno lolote kuhusu hii mambo
Hii mambo ndo habari ya mjini huku Southern highlands kutokakana na uchumi wa sasa... Hebu toa neno lolote kuhusu hii mambo
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,343 Reaction score 13,365 Nov 8, 2017 #2 Balimi hazipo huko??
Kirokonya JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 2,280 Reaction score 7,557 Nov 8, 2017 #3 Bingwa za awali ndio zilikuwa bingwa za ukweli, sasa hivi togwa tu.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,435 Nov 12, 2017 #4 Nakumbuka hiyo bia ilisababishaga sister duu mmoja masela wajisevie baada ya kulewa na network kukata
Nakumbuka hiyo bia ilisababishaga sister duu mmoja masela wajisevie baada ya kulewa na network kukata