Nimeona mwenzio anasema eti ujumbe umefika kimataifa wakati kommenti,kama unavoziita ni za kiswahili?Nyie ndo mnajifunza tu.Wakenya sisi hatutusi mabinti wa wenyewe.Sisi CNN,S.A kwa ujumla pia Nigeria tuliwavamia twitter sasa hivi wanajua K.O.T(Kenyans on Twitter) ni nini?CNN na waS.A hadi wakaomba msamaha.Ujumbe kupitia mtandao hadi uuone kwenye 'international media' ndo utajua umefika kimataifa.Kama mnataka kujua umoja wa wakenya KOT achaneni na binti wa wenyewe.Vamieni wakenya kwa jumla mtajua kilichomtoa kanga manyoya!Anzeni [HASHTAG]#someonetellkenya[/HASHTAG] kwa twitter ila sidhani itatrend kimataifa,siunajua watz na kiingereza ni kama maji na mafuta?Ngumu kupatana!