Bi msumi

julfox

Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
77
Reaction score
82
Wakosoaji hunufaika na nini? Kwanini baadhi hutekwa na kupotezwa kama kina mdude, na kuna ambao hawaguswi? Nini kipo nyuma ya pazia, nilitegemea kuona wakosowaji wa mda mrefu kama Martin (mmm), na wengine Kutekwa. Au kuna ambao wanakosoa kistaarabu🤔
 
Kuna tetesi MMM ni--
 
Kwanza tuanze na hili, hivi kukosoa ni kosa?
Kama jibu ni ndiyo, kwanini serikali haifuati utaratibu kuwawajibisha wanaotenda kosa hilo?

Serekali inapata wapi uhalali wa kuhimiza jamii ifuate utaratibu na sheria wakati yenyewe inashindwa kufuata utaratibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…