Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,542
- 59,584
Halafu wakijichubua sana na ndevu zinaota sijui kwanini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo mama akee mtu usikute kaitupia fb hii mitandao ndio mana jiwe anataka kuifungia
Kweli wakunyumba aibu naona mm yaan kama mama yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angekua mama angu mbona angetafuta pasi.Kweli wakunyumba aibu naona mm yaan kama mama yangu
Good morning bbyIn africa minding other peoples' business is part of our business.
MhGood morning bby
Yaaan nawaza tu hivi mama wangu unaanzaje kupost hizo picha hizo fb wamama wameingia kwa pupa sanaAngekua mama angu mbona angetafuta pasi.
Good morning my sweetheart.[emoji9]Good morning bby
I'm doin good bbyGood morning my sweetheart.[emoji9]
How u doin....?
Long time no sèe bby.I'm doin good bby
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu wakijichubua sana na ndevu zinaota sijui kwanini
Nimecheka humu! [emoji23]Mage bwana!!
Sio kwa wekundu huo jamanii!!
Kuna watu wanakua mwili lakini akili hazikui kabisaaa!!
Halafu wakijichubua sana na ndevu zinaota sijui kwanini
Huyu mama aliruka stage ??
Hebu mkadirie age yake?me nadhani 23😀
![]()