Kimsingi mambo mengi yanayomkuta Zitto yanatokana na yeye kutokuwa makini na kauli zake na maandishi yake, Zitto hawezi kuchagua maneno, wakati, mahali na hadhira. haya yote ndio yanayomtesa na yataendelea kumtesa sana. Utasulubiwa kwa matamshi, maandishi na matendo yako.
Zitto ni kati ya wanasiasa wanaotoa lugha tata kila kukicha na hasimami na anachosema leo au jana au juzi. Kwa hali hiyo hata yeye huwa hakumbuki vizuri alichokiandika au sema mpaka critics watoe critics zao +Ve au -ve chochote kinachokuja kwanza.
Ushauri wa bure kwa Zitto. Kuwa makini sana na kauli zako na maandishi yako popote pale, kumbuka pamoja na kwamba bunge upo na mbumbu wengi wale sio kioo cha watanzania wa sasa, ile sio hali halisi ya ushindani ndani ya Tanzania ya leo. wabunge wanaokuona makini wengi wao akili zao zimechakaa na vidato vidogo, hata maisha na kauli bora hawaezi kuzichuja.
Zitto kabwe uko kwenye siasa za karne ya 21 ingawa unazungukwana baadhi ya watu wa karne ya 19. sasa jifunze kupambana na watu wa karne ya 21 ambao hugeuza mawe, vyungu, na kuchimba chini juu.Spinning zone.
Wanasiasa wengi nchi zilizoendelea wanajiuzulu kwa sababu ya kauli au maandishi ambayo wao wanaona yalikuwa ya kawaida, au kukosa kuchaguliwa kwa sababu hiyo.
Jitahidi kuwa na washauri ambao watachuja mengi kabla hujaandika na kusema.
Nakutakia kazi njema, na ninakutakia kuwa na uwezo wa hekima na busara zaidi kuliko hasira na kukurupuka.
Umesema ukweli sana. Zitto anaweza kupotea kabisa katika ulingo wa kisaisa na kuachana na maneno yake ya kuchanganya na watu hawa watashindwa kumwamini tena
tafadhali hamka tumesha badili maana ya nchi zilizo endela na nchi zisizoendelaKimsingi mambo mengi yanayomkuta Zitto yanatokana na yeye kutokuwa makini na kauli zake na maandishi yake, Zitto hawezi kuchagua maneno, wakati, mahali na hadhira. haya yote ndio yanayomtesa na yataendelea kumtesa sana. Utasulubiwa kwa matamshi, maandishi na matendo yako.
Zitto ni kati ya wanasiasa wanaotoa lugha tata kila kukicha na hasimami na anachosema leo au jana au juzi. Kwa hali hiyo hata yeye huwa hakumbuki vizuri alichokiandika au sema mpaka critics watoe critics zao +Ve au -ve chochote kinachokuja kwanza.
Ushauri wa bure kwa Zitto. Kuwa makini sana na kauli zako na maandishi yako popote pale, kumbuka pamoja na kwamba bunge upo na mbumbu wengi wale sio kioo cha watanzania wa sasa, ile sio hali halisi ya ushindani ndani ya Tanzania ya leo. wabunge wanaokuona makini wengi wao akili zao zimechakaa na vidato vidogo, hata maisha na kauli bora hawaezi kuzichuja.
Zitto kabwe uko kwenye siasa za karne ya 21 ingawa unazungukwana baadhi ya watu wa karne ya 19. sasa jifunze kupambana na watu wa karne ya 21 ambao hugeuza mawe, vyungu, na kuchimba chini juu.Spinning zone.
Wanasiasa wengi nchi zilizoendelea wanajiuzulu kwa sababu ya kauli au maandishi ambayo wao wanaona yalikuwa ya kawaida, au kukosa kuchaguliwa kwa sababu hiyo.
Jitahidi kuwa na washauri ambao watachuja mengi kabla hujaandika na kusema.
Nakutakia kazi njema, na ninakutakia kuwa na uwezo wa hekima na busara zaidi kuliko hasira na kukurupuka.
make sencekwa mtazamo wangu zitto aendelee kubwabwaja ili tumjue kumzuia mnataka tusimfahamu hivyo tuendelee kumuamini tumpe imani sanjari na madaraka makubwa halafu atuengushe acha tumjue kwa ubungee huu huu