kikwete si mtukufu ni muheshimiwa mtukufu ni ma.Leo rafiki angu mmoja ktoka arusha kanipigia. Ni muda mrefu nilikuwa sijawasiliana naye. Alichoniambia cha kwanza ni kuwa anamkumbuka sama mtukufu Raisi J.Kikwete kwa wema wake aliyokuwa kawafanyia wakulima. Vijana weng waliokosa ajira walikimbilia kwenye kilimo hasa cha kitunguu. Asema kipindi cha kikwete waliweza kuuza gunia moja ya kitunguu hadi laki mbili. Leo wanatafta hata wakumuuzia kwa elfu 30000 wanakosa. Yani ni mafuriko ya kitunguu sokoni.
Mkulima wa kitungu aliweza kupata mpaka gunia 100 kutoka hekar moja ambayo angepata profit ya zaidi ya m15. Ila leo hata m2 haifiki.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki kikwete popote alipo.
kitunguu mwezi march,april na may ndo knafikia bei hyo,msimu bdoLeo rafiki angu mmoja ktoka arusha kanipigia. Ni muda mrefu nilikuwa sijawasiliana naye. Alichoniambia cha kwanza ni kuwa anamkumbuka sama mtukufu Raisi J.Kikwete kwa wema wake aliyokuwa kawafanyia wakulima. Vijana weng waliokosa ajira walikimbilia kwenye kilimo hasa cha kitunguu. Asema kipindi cha kikwete waliweza kuuza gunia moja ya kitunguu hadi laki mbili. Leo wanatafta hata wakumuuzia kwa elfu 30000 wanakosa. Yani ni mafuriko ya kitunguu sokoni.
Mkulima wa kitungu aliweza kupata mpaka gunia 100 kutoka hekar moja ambayo angepata profit ya zaidi ya m15. Ila leo hata m2 haifiki.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki kikwete popote alipo.
Hatujawahi kusema Kikwete ana roho mbaya - tangu enzi za ujana wake ni mtu poa sana, yaani mshikaji kwelikweli. Tunachosema ni kwamba, hakuwa kiongozi bora. Sasa unaweza ukawa mshikaji mzuri na bado uwe kiongozi usiyefaa - kama vile tu kuna wanawake wazuri sana kuwa nao lakini sio kuwaoa!
Ni upuuzi kusema kikwete hakuwa kiongozi anayefaa,kilichopo ni kwamba Kila kiongoz Ana mapungufu yake na mazur yake,bado tupo ambao tunauthamini uongozi wake sana tu na uliboresha maisha yetu Kwa mengi tuHatujawahi kusema Kikwete ana roho mbaya - tangu enzi za ujana wake ni mtu poa sana, yaani mshikaji kwelikweli. Tunachosema ni kwamba, hakuwa kiongozi bora. Sasa unaweza ukawa mshikaji mzuri na bado uwe kiongozi usiyefaa - kama vile tu kuna wanawake wazuri sana kuwa nao lakini sio kuwaoa!
Salamu zikufikie mh. Kikwete popoto ulipo tusamehe tulipo kukosea hakika ulikua bora mara 100, pia the late capt komba lala salama wenzio namba tunaisoma kama ulivo imba
Wale waliokuwa wanaambata nae kwenye msafara wake wanamkumbuka sana, alihakikisha kila mtu amewafanyia shopping watoto.