Bi Kidude: Wallah hatokei mtu mwenye roho nzuri kama Rais Kikwete!

Mwambie pia kipindi chake alipuliza dawa kabatini kuwamaliza mende(deko) lakini leo tunavunja kabati kuua mende.
 
kikwete alihifadhi sana heshima ya tz hata majirani walikuwa wanatuheshimu na walikuwa wanauogopa sana uchumi wetu. lakini sasaivi, dah? hata hawatuongelei tena.
 
Back
Top Bottom