Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,372
mambo ya ngoswe..............
Akiachiwa ngoswe hali si itazidi kuwa mbaya! Tufanye kuyakemea bwana!
mambo ya ngoswe..............
hakuwa bibi harusi,walienda harusi ya mwenzao....huyo dada huwa ana vituko anyway.
Eneo na watu wenyewe wamevaa nguo zenye "ritual colours". Unategemea nini?
Ukitazama vizuri hata pombe kulikuwa hakuna maana naona vijuice vya Azam wangepewa JD si wangevua zote
Akiziba kote anawashwa!