Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,074
- 34,844
Haya ndo mambo tunayosemaga kuwa ukijifanya faza sana waweza uziwa mbuzi kwenye gunia, ona sasa huyu boya alitaka kuingizwa king , bahati yake kawahi kunasua mtego.
Ukiwa nunga yembe utaendelea kusugua gaga mpaka uote sugu.
Ngoja nimuulize shaa
Usijali... stay tuned mkuu mkirema.
Ok, kwa kuwa ni utamaduni wao sawa tu! sisi wa kwetu lazima muonane kwanza.