iphoneX
Senior Member
- Dec 12, 2017
- 193
- 172
Unaleta chai! Kasome discourse analysis uone namna gn mjadala inavoendeshwa! Vingnevyo ntaomba niishie hapa. Nakuuliza hiki unajibu kile....wap n wap? Unasema unataka nijue km na wew Fundi hahaaa so what!? Uo nd Msingi wa mjadala Wetu sasa mufti!? Unaulizwa Unafahamu km waislamu wanaamini vitabu 04?! Unavunga vunga tu! Porojo nyingiii ili nikuone Unajua na wew! Ili iweje sasa!? Ukiwa tayar njoo ntaendelea n wew.Gudume kumbe huku kwenye Ilimu sio kama kulee. Ila hapa naona kuna atakaekimbia mjadala maana mmoja mpemda nukuu mwingine mpenda Maelezo makavu bila nukuu, kwa mwendo huu mtaishia pata potea. Mkimaliza mkumbukw mada tajwa hapo juu mjadili kwa ufasaha huu huu. Tunaheshimu michango yenu.
Zaid ya Hapo am done with u