ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,040
Nimekupa like, kwakuwa kidogo umejiseti ktk hoja zangu. Moja, Sijakuelewa kabisa ulipotaja karne ya nne na uislam, sijawahi hata kulisikia hilo bora hata uniambie ulianzia tangu Uumbaji wa Adam. Pili, ni kutokujibu kwa yapi yaliyotukia ktk mapinduzi ya Zanzibar. Hoja pale ilikuwa, je waliopindua hawakuwa waislamu?1.historia inatwambia uislamu ndyo dini ya kwanza kuingia ktk uga wa A.mashariki. rejea " The Early contacts btn Africa and Asian countries" lkn pia historia hyohyo inajibu swali la ukongwe wa dini ya kiislamu na hyo inayodaiwa kuitwa dini ya ukristo, uislamu ulianza tangu karne ya 4th, ikumbukwe uislamu ulikuwepo hata kabla ya kuja mtume wa
mwisho Muhammad, uislamu ulikuwepo tangu enzi za musa(moses), daudi(zaburi) na Adam. Karne ya 7th and ilianza kusambaa.rejea kitabu cha Islamic civilization, cha Abilal Almahdood. Encyclopedia Africanica n.k.
2. Waafrika walihisi kudhurumiwa na ukoloni mkongwe, lkn hapohapo na waislamu kwa nafasi ya upekee walikuwa wakihisi kuonewa na kudhurumiwa huo ukoloni hapa tunarejea vita vya maji maji ikumbukwe hii kwa waislamu ni Jihhad lkn kwa kuwa historia imefichwa wengi mnajua ilikuwa ni vita ya ukoloni mkongwe, kwa ujumla hili ni darasa lengine kwako cyo Leo, lkn itoshe kufahamu hata ktk kipindi hiko madai ya waislamu yalikuwepo. Vile vile kufutwa kwa baraza la waislamu lililokuwepo wakt wa ukoloni kabla hili la bakwata.
3. Mapigano ya kikoloni yalianza tangu karne ya 14th(during primitive mercantilism in Europe) the so called, period of plundering and looting of precious goods, raw materials in Africa.
Kama ndivyo, basi akina Mkwawa, Mirambo na Kinjekitile pia walikuwa wakiupigania uislam,,, lakini kama akina Abeid Karume walikuwa nao ni waislam, basi kilichokuwa kikipingwa ni ukoloni tu, wa race nyingine kumtawala mwafrika. Na ndiyo maana walikuwa tayari kuungana na mwafrika yeyote yule bila kujali dini ili wajikomboe waafrika.
Abeid aliungana na John Okelo, wa Uhuru wa Tanganyika waliungana na Julius Nyerere na John Lupia, akina Chief Kunambi, waasisi wa TANU, ili wampatie tu mwafrika uhuru wake. Ni makosa kusema, waislamu, ni vyema tu kusema waafrika weusi... Italeta mantiki.