Bi Farida na bi Rukia

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
16,503
Reaction score
21,236
Hawa ni mabinti wawili tofauti mkole mimi nilikutana nao.
Farida (mpemba complete)
Rukiya (Mgunya complete)
Wote walikua na sura za baba zao. kusema ukweli ndo walikua kwaaanza wanavunja kapu.
Tukizungumzia hawa watoto walikua ni wa masheikh wakubwa tu kwenye misikiti hapo Dar,Ami-Ammu walakh ni maneno ya salamu tu kwao.
Sasa katika mizunguko tumekuja kutana na farida badae sana baada ya kuachana pale kitaa sitaji.
Huko tulikutana baada ya masomo ile bana ilikua ni sehemu ya anasa.
Ye muhudumu kawaida tu ingawa ni wale high standard (VIP)
Mi pia niko huko vip.
Date likaanza hapo.
Kifupi nilimtoboa Farida kikapu chake na kama usingekua ubaguzi wa kidini mpaka leo angekua mke wangu.
Alinipigania sanaaa ila mi khafeer wanavyosema wao.
Haya nikakutana na Rhukiya (mgunyahuyu)
katika mazingira tata,nawalikua hawakai mbali hapo mtaani Baba zao wote ni masheikh wakubwa tu hapo.
Yaani nimemtoboa Rukyia na huyu wa kwanza nilikuta bikra kule.
Wale mabinti walikua laini kama kambale.
Nimewakuta wabichi kabisa mtoni hawajatomaswa wala hata kuguswa.
Kusema ukweli ili kwamba wale mabinti bikra mpaka ufe hamna.
Nilikua nao hapo mjini na sidhani kama nilikosa kitu.
Baada ya vikao vingi farida alisema anahamia kwangu isiwe shida.
Wakageuza kibao tuhamie pale home kwao.
"Nafkiri ili wanipige albadiri vizuri"
Aisee ni binti yao wa pekee,walipiga mpaka magoti kumswalia "swalah-utu-laah yarab imkute jabir sheitwan huyu mjaah laan nukhsi bin khafeer"
Bahati mbaya sana nadunda tu mpaka leo😁.
Farida nilimuacha kimasihara tu,sio kwamba nilikua simpendi no,no,no,hata leo kam yuko hai atajua ni nani ameandika hapa.
Rhukhaeya(Rhukhia)
Hawa ni baina ya wale mabinti walikuzwa kwenye koo zinatukuza uarabu zaidi (mgunya)
Hataki umfananishe na mzanzibari wala mpemba.
Wao wanadai asili yao morocco huko walikuja tu Africa(mombasa) kwa baada jahazi lao kupotea njia likielekea Madagascar.
Mi nilikua mpenzi msikilizaji,
Baada ya kulia lia nilifyekelea mbali sana bikra yake😁.
Nnavokumkumbuka alivosikia jirani tu kuna mke wangu nakaa humo (mario)
Rhukheeya alikuja na kisu kutuua.
Kavaa baibui huku ana jambia mkononi.
Hajui nilikua nshapita mafunzo kibao ya kijeshi,
Nilimpitia kama njiwa nikaweka silaha pembeni.
Kaa tuelewane.
Kapooza mi hapo nilishasilimishwa natoa amri tu nyumba ya watu.
Aisee nilikaa na hawa wake zangu hawa waislamu piwa bila bughudha.
Mghalatia mimi naweza kusema yale yalikua mapenzi.
Tulikaa wote kwa upendo,jioni mnakula mnacheka pamoja uwani ukichelewa mkeo anaweka portion yako chumbani na nyongeza.
Na konyagi farida lazima aniwekee stock.
Wao wanakunywa fanta za kutosha tu.
Anyway mpaka Sasa nafikiri labda farida anaweza akawa ni faizafoxy na rukhaaeya yupo humu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…