Bi. Annar Cassam: Moja kati ya personal assistant (PA) wa the late Nyerere

Tangawizi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
4,303
2,000
Ndo huyu aliandika kitabu akasema kitatoka miaka 25 baada ya kifo cha Mwalimu?
Ni yule dada wa kizungu. Alikuja Tanzania na Mwalimu wakaanzisha chuo cha uongozi Kivukoni. Yule dada alikuwa member wa "fabian society". Alihusika na mambo mengi sana ya uongozi na mafunzo yake baada ya uhuru
 

Tangawizi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
4,303
2,000
Kwa nyie vijana wa leo msiojua historia. Picha ya kwanza kulia kabisa ni Marehemu Said Maswanya akifuatiwa na Marehemu Rashid Kawawa na kule nyuma ya mama Cassam mwenye Barakashia ni Meya wa Dar es alaam enzi hizo Mzee Chambuso!!
Sababu Nyerere alikataa gilba za Chief Fundikira na Shekhe Takadiri za kulazimisha udini, leo hii kuna watu wanasema Nyerere alidhulumu dini zao. Si kweli. Nyerere alikataa radicalism. Kama ingeendekezwa ingelipasua katikati Taia changa la Tanganyika. Hata Kasanga Tumbo, alipata shida sababu ya kutotaka kufanya kazi na watu wa rangi nyingine, ila waafrika tu
 

CHIBURABANU

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
2,682
2,000
Mzee Kawawa anaangalia kama vile hayamuhusu. Ilikuwa ukitaka kugombana na Nyerere, basi mguse Mzee Kawawa. Muda ni mwalimu mzuri. Ningependa kuona maandishi ya kweli juu ya shujaa huyu wa Tanzania pia, Rashid Mfaume Kawawa. RIP
Hapo lazima mwalimu alikuwa anaongea na bi casam kidhungu,lugha ngumu kwa RMK.
 

chef detat

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
16,864
2,000
Mzee mchonga alikuwa mtu mwenye simile kidogo

Pisi Kali kama hio ungekuwa karibu na mwendazake zake na huo weupe asubutuuuuu asalaaaaleee!!
jamaa alikuwa anasema ukweli kabisa kwenye speech zake kwamba anaelewa kazi nyeupeπŸ˜‚
 

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
5,211
2,000
Huyo mama ndio alipaswa amrithi Nyerere pale ikulu labda alikuwa na maono ya mzee , lakini naona aliamua kuachana na siasa akarudi zake Switzerland.

Am interested to know kwa nini aliamua kutojihusisha na siasa za kipindi kile ingali alifanya kazi kubwa akimsaidia mzee Nyerere kwenye majukumu mbalimbali ikiwemo hata kumshauri.
 

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
5,211
2,000
Nyerere hakuwa mbaguzi wa rangi

Ova
Ila aliwanyoosha magabachori kwenye Azimio la Arusha. Ile nationalization iliwatoa kwenye ubwanyenye.

Hata kukaa na huyo mama wa kihindi pia zile ni strategy za watemi na huyo mwanamke hakuwa na ujanja wa kukataa offer ya Nyerere maana wakati mwingine inabidi umsaidie kzi ili ndugu zako wasisumbuliwe tu.

Waweza kujiuliza kea Nini hakutaka kukaa Tanzania kabla na hata baada alirudi zake Switzerland despite of the fact kwamba angeweza kupata vyeo vikubwa tu?

Najiuliza bado🀷
 

chef detat

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
16,864
2,000
Huyo mama ndio alipaswa amrithi Nyerere pale ikulu labda alikuwa na maono ya mzee , lakini naona aliamua kuachana na siasa akarudi zake Switzerland.

Am interested to know kwa nini aliamua kutojihusisha na siasa za kipindi kile ingali alifanya kazi kubwa akimsaidia mzee Nyerere kwenye majukumu mbalimbali ikiwemo hata kumshauri.
yani awe Rais ? katiba hairuhusu hilo, na hata ingekuwa ina ruhusu hakuna ambaye angemchagua
lakini pia Mkuu, nchi haiwezi kuendelea kwa kuongozwa na fikra moja miaka yote
 

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
5,211
2,000
yani awe Rais ? katiba hairuhusu hilo, na hata ingekuwa ina ruhusu hakuna ambaye angemchagua
lakini pia Mkuu, nchi haiwezi kuendelea kwa kuongozwa na fikra moja miaka yote
Ni mzaliwa wa Tanzania nadhani, so Katiba inamruhusu mzaliwa wa Tanzania kugombea hiyo seat lakini kwa kuzingatia na Sheria nyingine kama ya uchaguzi nk.

However nakubaliana nawe kwamba hatuwezi kuongozwa kwa kutumia aina moja ya mawazo, milengo na fikra.
 

papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
4,399
2,000
muche, mucheee, mucheeeepuko, kamucheeeepukooo …………………………………..eheeeeee kumbe muzeee alikuwa anaji sevia!
 

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,193
2,000
Mbona alikwenda Geneva na hakurudi Tandahimba, bila shaka amefia na kuzikwa Geneva na sio Tandahimba wala ng'ende.....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom