Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,685
- 32,991
Amina barikiwa na bwanaMnyonge ni wewe.
Amina barikiwa na bwanaMnyonge ni wewe.
Kuna watu wanasema aliwadhulumu watu wa imani yao...duniani visa tupu... 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nyerere alifanya kazi na watu wa makabila yote, kila rangi na kila background. The best founding father
Ni yule dada wa kizungu. Alikuja Tanzania na Mwalimu wakaanzisha chuo cha uongozi Kivukoni. Yule dada alikuwa member wa "fabian society". Alihusika na mambo mengi sana ya uongozi na mafunzo yake baada ya uhuruNdo huyu aliandika kitabu akasema kitatoka miaka 25 baada ya kifo cha Mwalimu?
Sababu Nyerere alikataa gilba za Chief Fundikira na Shekhe Takadiri za kulazimisha udini, leo hii kuna watu wanasema Nyerere alidhulumu dini zao. Si kweli. Nyerere alikataa radicalism. Kama ingeendekezwa ingelipasua katikati Taia changa la Tanganyika. Hata Kasanga Tumbo, alipata shida sababu ya kutotaka kufanya kazi na watu wa rangi nyingine, ila waafrika tuKwa nyie vijana wa leo msiojua historia. Picha ya kwanza kulia kabisa ni Marehemu Said Maswanya akifuatiwa na Marehemu Rashid Kawawa na kule nyuma ya mama Cassam mwenye Barakashia ni Meya wa Dar es alaam enzi hizo Mzee Chambuso!!
Hapo lazima mwalimu alikuwa anaongea na bi casam kidhungu,lugha ngumu kwa RMK.Mzee Kawawa anaangalia kama vile hayamuhusu. Ilikuwa ukitaka kugombana na Nyerere, basi mguse Mzee Kawawa. Muda ni mwalimu mzuri. Ningependa kuona maandishi ya kweli juu ya shujaa huyu wa Tanzania pia, Rashid Mfaume Kawawa. RIP
Kuna watu wanasema aliwadhulumu watu wa imani yao...duniani visa tupu...
😂 😂 😂 😂 😂 😂Mzee mchonga alikuwa mtu mwenye simile kidogo
Pisi Kali kama hio ungekuwa karibu na mwendazake zake na huo weupe asubutuuuuu asalaaaaleee!!
He was very dedicated to the course of making one Tanganyika/Tanzania for all of us. Rashid Mfaume Kawawa. Mwenyezi Mungu ampe pumziko lenye amani yakeHapo lazima mwalimu alikuwa anaongea na bi casam kidhungu,lugha ngumu kwa RMK.
jamaa alikuwa anasema ukweli kabisa kwenye speech zake kwamba anaelewa kazi nyeupe😂Mzee mchonga alikuwa mtu mwenye simile kidogo
Pisi Kali kama hio ungekuwa karibu na mwendazake zake na huo weupe asubutuuuuu asalaaaaleee!!
Ila aliwanyoosha magabachori kwenye Azimio la Arusha. Ile nationalization iliwatoa kwenye ubwanyenye.Nyerere hakuwa mbaguzi wa rangi
Ova
yani awe Rais ? katiba hairuhusu hilo, na hata ingekuwa ina ruhusu hakuna ambaye angemchaguaHuyo mama ndio alipaswa amrithi Nyerere pale ikulu labda alikuwa na maono ya mzee , lakini naona aliamua kuachana na siasa akarudi zake Switzerland.
Am interested to know kwa nini aliamua kutojihusisha na siasa za kipindi kile ingali alifanya kazi kubwa akimsaidia mzee Nyerere kwenye majukumu mbalimbali ikiwemo hata kumshauri.
Ni mzaliwa wa Tanzania nadhani, so Katiba inamruhusu mzaliwa wa Tanzania kugombea hiyo seat lakini kwa kuzingatia na Sheria nyingine kama ya uchaguzi nk.yani awe Rais ? katiba hairuhusu hilo, na hata ingekuwa ina ruhusu hakuna ambaye angemchagua
lakini pia Mkuu, nchi haiwezi kuendelea kwa kuongozwa na fikra moja miaka yote