kwa mfano nikidumbukiza kura yangu afu nikachovya kidole changu cha kushoto kwenye wino na wee yako nikufanyie vivyo hivyo kwa mkono wa kulia....hapo vipi? ili usipoteze haki yako
kwa hiyo DC yeye anahaki ya kuchovya tu basi!! kweli wewe umebarikiwa kuliko wanawake flani hivi nawajua.kwa mfano nikidumbukiza kura yangu afu nikachovya kidole changu cha kushoto kwenye wino na wee yako nikufanyie vivyo hivyo kwa mkono wa kulia....hapo vipi? ili usipoteze haki yako
.please..........special mission! umesahau?hahahahah......umekosea saaana!!
You see..this is what am talking about,.....dah
hahahahah......umekosea saaana!!
wa ukweli mi ni ngumu kutenganishwa na hayo aisee....si unajua!!
Haya basi basi hebu prove.
Mimi naleta mashahidi....Asprini, Kaizer...et al.
Wewe mashaidi unao? au unataka kujitetea mwenyewe na hapo hapo uwe sahidi....
Mpendwa wetu Hon. Bht atakufafanulia kama hiyo ipo kwa mujibu wa kanuni zao...!!
Wanaiita St. Jogoo (jogoo ya kiswahili bana, sio kiingereza :A S 13::A S 13::A S 13🙂....hey roya roy...........
umekuwa kokoriko siku hizi? unamwamshaga nani?
hahaaaaaaaaaaaaaa Bigirita sasa wewe ndo utamfanya kaka mkubwa asinielewe kimoja.
basi tufanye yameisha wajemeni
Angekuja na babu ataka kusema! Karibu!
hao unaosema mashahidi wako una uhakika wako pamoja na wewe....??
(Asprin....kwisha habari yake siku nyingi!! atakuitikia tuu lakini ananisikiliza mimi :smiling:
Kaizer ndio usiseme....always to my rescue....hahahahah) kazi unayo.....
I hope they are not reading this.....:doh:
Of-course they are not!.hao unaosema mashahidi wako una uhakika wako pamoja na wewe....??
(Asprin....kwisha habari yake siku nyingi!! atakuitikia tuu lakini ananisikiliza mimi :smiling:
Kaizer ndio usiseme....always to my rescue....hahahahah) kazi unayo.....
I hope they are not reading this.....:doh:
Kesi imeisha....
Hakuna jaji mpuuuzi atahitaji ushahidi zaidi ya hayo maneno yako
Bht nimeambiwa ulikuwa jumba la big brother kwa muda wa siku tisini
Napata picha :A S-rose::dance:
Of-course they are not!.
kesho nitakupa taarifa fupi ya hapa my bestlady ..wajua sasa naenda kumpikia sweetlotion ..
take care