Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Waafrika imefka zama tunaangalia watu wamefungiwa ndani ya jumba wakifanya ngono... wakioga na kufanya uchafu wa kila aina .!! kichefuchefu tunasahau maadili na ustaarabu wetu! wizara yetu ya elimu na utamaduni ifikirie hili jambo marambili wawakilishi wasiende kupeperusha bendera yetu zaidi wawe mule kujiwakilisha binafsi wakidhalilisha familia zao na wao wenyewe

Mwana JF muda unaokaa kuangalia Big brother bora uangalie Discovery chanel utajifunza jambo
 
Mkuu ukiangalia hii picha kwa makini ni kweli bhoke ni kama anasikilizia kitu kinaingia mahala pake du!
Jamani hao madada kama mmeangalia Link zote mbili, wote ni watanzania, Bhoke na huyo mwenzake Lotus, halafu mwanaume ni mmoja, Ernest wa Uganda. Mnaona ni vema hiyo? Hapo kwa Bhoke ni zaidi ya kiss maana kabisa unaona Bhoke anasikilizia kitu utamu wake
 
Hakuna cha kushangaza hapo, ni ushamba tu unawasumbua waanzisha sred.
Kama kukiss ni kufanya mapenzi.. Bac wengi wameshafanya. Mimi niliona hiyo sikuona cha zaid ya hivyo walivyokuwa na walikuwa na watu wengine pia kwenye jaccuzi pia.
 
sijaiona hiyo big brother africa,isipokuwa hicho kipande kidogo.mimi ni mpenzi sana wa big brother ila nilitegemea waafrika ku act tofauti kwani kama tuna heshima fulani,kumbe ni tofauti.huyo m.me kama hayupo kabisa ila huyo dada ni nyege tuuu zmemjaa.kweli fedha fedheha.hiyo yote ni game,unaweza uka play game,ila siyo lazima iwe ngono.
 
Its obvious she couldn't afford to ignore all the attention showered her by that dude, because she's just plain ugly (Like most girls from that part of the country she hails from.) and couldn't get laid in real life.

mi nimetusua watatu toka pande hizo mkubwa,na walikuwa 'wakare' ile mbaya na wana mzuka mwingi!(labda kwavile hawa wa mjini ile kitu hawakati).il kwakuwa umesema 'most of them'...
 
Breaking News: the fight between Lotus and Luclay gets physical as she lashes out at him in the garden.

Kwa mara nyingine tena ndani ya wiki tatu mwakilishi wa TZ ana-make headlines ndani ya BBA6..
 
BB says either of them could have walked away, he says Luclay was provocative and punishes him with dish washing + housecleaning.. BB says since this is a clear contravention of the House Rules, Lotus has been DISQUALIFIED from the game. She must leave immediately..
 
mie nilitegemea mauno ya kufa mtu?mnh....

hahaaaaa yaani mi mwenyewe kaniudhi ka nini?yaani pale ilikuwa ajipindue aanze kumpa miuno ka yuko twanga hivi......kashindwa kuliwakilisha taifa katika fani zetu za asili na tulizopatia medani toka uhuru
 
Nilidhani Bhoke ni smart lady. Yaani namsikitikia. Maana hizo $ hapati na heshima yake amejishushia. Ina maana akitoka humo anaendelea kutangaza EATV? Mbona hatashusha reputation ya hiyo channel!
 
Haujaona mkono mmoja wa jamaa mahali ulipo?? jamaa kazamisha mkono wote kunako, afu yeye katulia tulii dada yetu ndio anatapa tapa. What a shame.
Jamani mbali ya yote Mimi bado sijajua Maana,Lengo Na faida inayopatikana kwa WATAZAMAJI wa Big Brother.
 
22May_Votes-Graph_lg.jpg

This week you voted to save your favourite Housemate, take a look at how the voting week played out.

Kim, Luclay, Mumba and Nkuli were all Nominated from the Tails House this week.

The Housemates who received the most country votes went back to the Tails House.

Nkuli received none of the country votes, and was therefore evicted.
The Mozambican vote was split between Kim and Mumba and so each Housemate received half a country vote from that country.

How You Voted
Luclay: 8 country votes - Angola, Botswana, Ethiopia, Ghana, Namibia, Nigeria, South Africa and the Rest of Africa

Kim: 5.5 country votes – Kenya, Malawi, Tanzania, Uganda, Zambia and Mozambique (half).

Mumba: 1.5 country votes – Zimbabwe and Mozambique (half).

Nkuli: 0 country votes.
 
In today's nomination the following wil b up for eviction next week but for HoH changes at night.
Bernadina --3
Confidence -- 3
Hanni--4
Sharon O--4
Vina --3

Probably HoH Vimbai will save Confidence and replace with Michael or Weza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom