njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 12,402
- 5,585
Waafrika imefka zama tunaangalia watu wamefungiwa ndani ya jumba wakifanya ngono... wakioga na kufanya uchafu wa kila aina .!! kichefuchefu tunasahau maadili na ustaarabu wetu! wizara yetu ya elimu na utamaduni ifikirie hili jambo marambili wawakilishi wasiende kupeperusha bendera yetu zaidi wawe mule kujiwakilisha binafsi wakidhalilisha familia zao na wao wenyewe
Mwana JF muda unaokaa kuangalia Big brother bora uangalie Discovery chanel utajifunza jambo
Mwana JF muda unaokaa kuangalia Big brother bora uangalie Discovery chanel utajifunza jambo