inategemea na unavutia wapi....kaa chooni utakuwa na akili za waruwaru,unavuta uku unaituma ifanye kitu flani ndo hivyo hivyo.sina tunavuta kumaditetiii
Duu hii yaweza kuwa ligi
Yaeh kujadili facts imekaa vizuri zaidi lakini najua msimamo wako CYBERTEQ kuhusu hii kitu
CYBERTEQ tuna misimimo miwili tofauti kuhusu hili nakumbuka tulishawahi kubishana sana kwenye uzi wangu mmojahahaha, mimi daima husimamia facts, nikipaa facs nzito against nachofahamu msimamo unageuka kwa sababu msimamo hutegemea ukweli! vipi, mwenzangu una msimamo tu bila kuwa na facts?