Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,561
- Thread starter
-
- #41
Well said brother!nani kakudanganya pesa zinaleta maendeleo?.....mipango madhubuti, uthubutu, elimu, kujituma ndio chachu ya maendeleo......hata kabla ya pesa hazijagunduliwa watu walikuwa na maendeleo
Umejibu vizuri, kinachotusumbua sisi ni "footprint" ya maisha yetu tangu tukiwa watoto.Mkuu, shida yako ni kwamba unataka kutulazimisha sisi Watanzania wapiga porojo, wambea, wapenda udaku, tusiopenda kujisomea...tufikiri kwa kina na nje ya boksi. Hilo haliwezekani kwa sababu mfumo wetu wa elimu, kijamii na hata kitamaduni haujatuandaa kuwa watu wa kuhoji na kufikiri mambo kwa undani. Kama nilivyoona hapo juu we jiandae kutukanwa tu!
Weka mada nyepesi nyepesi tujadili hapa ohoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hahahahha, uko sahihi sana na ndicho tulichosema hapa. Tanzania ina vitu vya kututosheleza sote; Roho mbaya ndio huleta sumu ndani yetuUsitake kupotosha nilichosema, halafu uchawi na mwafrika ni jambo la kawaida sana.
Hata humu jf huwezi ukachangia kitu cha maana sababu ya CCM? Mzee Lowasa alivyo kuwa CCM alikuwa ni zaidi ya Shetani alivyokuja kwenu amekuwa zaidi ya malaika? Nyalandu akiwa CCM alikuwa fisadi amekuja kwenu amekuwa mtu mwema? Mtulya akiwa kwenu alikuwa mtu ameenda CCM amekuwa zaidi ya Shetani! Hii ni aibu kwa nchi na kwa Afrika kuwa na watu wenye akili kama zako na wenzako. Any way sio kwamba hamjui! Tatizo Unafiki! ipo siku matunda ya mnachokipanda yatapatikana kwani halimtokei mtu isipokua lile alilootesha kwa mikono yake.
Labda nikuulize swali moja dogo tu. Ndani ya chama chenu, ni kitu gani hasa mnachofanya ili kuhakikisha kuwa viongozi wa chama chenu wanakuwa upgraded na kuwa bora zaidi ya wengine? au mtu akishakuja kwenu tu tayari malaika? Upuuzi mkubwa. Sory! unafiki mkubwa.
Kwani kuwa Ccm shida nini sasa?Au hoja hapo ni nini? Yaani ni sawa na kusema Mimi nitakuwa ni mwanaume ! Yeah kweli ni mwanaume, kwa hiyo?hapa mkuu umejionyesha ni mwana Lumumba,its ok mkuu kuwa mwana CCM sio dhambi
nani kakudanganya pesa zinaleta maendeleo?.....mipango madhubuti, uthubutu, elimu, kujituma ndio chachu ya maendeleo......hata kabla ya pesa hazijagunduliwa watu walikuwa na maendeleo
Kwani kuwa Ccm shida nini sasa?Au hoja hapo ni nini? Yaani ni sawa na kusema Mimi nitakuwa ni mwanaume ! Yeah kweli ni mwanaume, kwa hiyo?
Ushabiki maandazi! Tume ishakuwa huru tayari? Au!CCM SUBIRINI KUSHINDWA
Time ni nini?Ushabiki maandazi! Time ishakuwa huru tayari? Au!
Haya okota andazi lako tusogeze sahani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa nini unadhani kuwa nilitakiwa nikatae?hahahaaaaaaaaaaaaaaa umeshindwa kukataa,lol
Kwa nini unadhani kuwa nilitakiwa nikatae?
pesa sio msingi wa maendeleo .....unadhani kwa nini kuna nchi masikini na nchi tajiri?......kwani nchi masikini hawatumii pesa?.....maendeleo yanaletwa na maarifa,ujuzi, uthubutu,kufanya kazi kwa bidii n.k....matajiri, watu wenye maendeleo sio kwamba walianza biashara na pesa nyingi hakuna kitu kama hicho bali ubunifu, maarifa, kujituma ndio kumewafikisha hapo walipo...maarifa ,elimu, ndio kila kitu....kuna watu ni madalali hawana huo mtaji wa pesa nni matajiri kuliko wewe mwenye mtaji wa mamilioni ya pesa.....usidhani ukiw na mapesaa mengi ndio utapata maendeleo si kweli kama huna maarifa,sio mbunifu, huna elimu hizo pesa zitaisha tu utabaki omba ombaHivi mnaongea nini nyie, ukiwa na hela ukakosa maendeleo basi wewe utakuwa umezitapanya tna utakuwa ni bonge la kenge. Hiyo mipango madhubuti, uthubutu, nk vinafanyika kwa kuwezeshwa na pesa. Hata wenye mawazo mazuri sana, hukopa pesa ili kufanikisha mawazo yao, au hufadhiliwa pesa ili waweze kufanikisha na kutekeleza mawazo yao. Mimi hapa nilipo nipe pesa, wewe baki na mipango yako madhubuti, uthubutu na elimu, kisha tupe mwaka mmoja njoo uone mimi na mwenye hizo sifa ulizotaja nani atakuwa na maendeleo. Pigeni hadithi zenu za kuongopeana hapa na Azizi, kama huna pesa your nothing in this world my friend. Ukiwa na pesa utapata kila kitu dunia hii labda ushindwe tu kununua furaha na kuzuia kifo, lakini sio maendeleo.
pesa sio msingi wa maendeleo .....unadhani kwa nini kuna nchi masikini na nchi tajiri?......kwani nchi masikini hawatumii pesa?.....maendeleo yanaletwa na maarifa,ujuzi, uthubutu,kufanya kazi kwa bidii n.k....matajiri, watu wenye maendeleo sio kwamba walianza biashara na pesa nyingi hakuna kitu kama hicho bali ubunifu, maarifa, kujituma ndio kumewafikisha hapo walipo...maarifa ,elimu, ndio kila kitu....kuna watu ni madalali hawana huo mtaji wa pesa nni matajiri kuliko wewe mwenye mtaji wa mamilioni ya pesa.....usidhani ukiw na mapesaa mengi ndio utapata maendeleo si kweli kama huna maarifa,sio mbunifu, huna elimu hizo pesa zitaisha tu utabaki omba omba
Kijana , adui wa kwanza wa nchi hii ni ccm , wa pili ni Shetani , katika nchi hii huwezi kupiga hatua yeyote bila kuondosha hawa watu , hebu fikiria leo hii bado tunanunua binadamu !