englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,210
Kumbe unaishi Marekani mkuu!!Kuna discussion kubwa sana inaendelea kuhusu black women..wanaonekana ni watu wenye hasira sana na wanaume wengi weusi wanawakimbia hapa marekani..i even my self run into one at homedepot it was strange hayo matusi nliyoambulia..wanasingizia malezi ya single mom na kukosa fathery figure but inazidi sasa..
Sasa hapo angempa nakozi mdg wake wakati anaonekana hata sura kauzu.Camera ya hotel ili record kila kitu .TMZ , fox news source Angalia video TMZ .Inakuwaje Mwanaume anapigwa namna hii .Beyonce ameuchuna utafikiri hamjui Jay Z alidundwa haswaa