He that loves "GLASS" without "G", take away "L" and that is him!
Angelitaka mtoto bila kubeba mimba angetafuta "surrogate mothers". Sasa anabeba mimba tena ya mapacha afu anataka bado awe na figure ya models? Poor lady; she has no idea you cannot have your cake and eat eat too!
Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.Umeona eeh! Badala ya kushukuru Mungu kawajalia yeye anaangalia kupendeza! Kuna wengi wanatafuta mtoto mmoja tu hata wa dawa hawaambulii kitu pamoja na kutumia mamilioni ya pesa.
He that loves "GLASS" without "G", take away "L" and that is him!
Angelitaka mtoto bila kubeba mimba angetafuta "surrogate mothers". Sasa anabeba mimba tena ya mapacha afu anataka bado awe na figure ya models? Poor lady; she has no idea you cannot have your cake and eat it too!
Mkuu Aleppo pole kwa "kukimbia umande". Maana ya maneno "You cannot have your cake and eat it too" ni kwamba huwezi kupenda mambo mawili yanayopinganga kwa wakati mmoja. Unaupenda mwonekano wa keki ulopewa na unataka uendelee kuiangalia hivi hivi na rangi zake na wakati huo huo unapenda kusikia muonjo wa ladha yake wakati ukiitafuna na kuimeza! Haya mambo mawili hayaendani; au uile (uikose) au uwe nayo (uendelee kuiangalia). You cannot have it and eat it too! ("too" hapa inamaanisha "at the same time"). Umenisoma?hapo kwenye rangi sijaelewa...
mtoto wangu anaangalia animated movie inayoitwa MR. PEABODY AND SHERMAN
kuna mahali wakiwa kwenye french revolution anamuambia hayo maneno...
mimi nilikimbia umande
Hapo sijakusoma mkuu! Sina hakika kama nimesomeka kwako.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nimefurahishwa sana mkuu.. Wewe ni mkalimali nguli kabisa[emoji15] [emoji15] [emoji41]Hapo sijakusoma mkuu! Sina hakika kama nimesomeka kwako.
Umeona eeh! Badala ya kushukuru Mungu kawajalia yeye anaangalia kupendeza! Kuna wengi wanatafuta mtoto mmoja tu hata wa dawa hawaambulii kitu pamoja na kutumia mamilioni ya pesa.
U have to choose kati ya kuila au kubaki nayo cake. Beyonce hawez kutaka kuwa na umbo la model wakati ni mjamzito. Achague mojahapo kwenye rangi sijaelewa...
mtoto wangu anaangalia animated movie inayoitwa MR. PEABODY AND SHERMAN
kuna mahali wakiwa kwenye french revolution anamuambia hayo maneno...
mimi nilikimbia umande
we braza wewe aisee umenichekesha. inaonekana ukipga game na miss chagga ni hatari watoto wavae industrial earphonesThe ndindindi.... Kirungu hakiongopi
mkuu usifanye utani na mshana jr aisee anaweza nitokea usikuwe braza wewe aisee umenichekesha. inaonekana ukipga game na miss chagga ni hatari watoto wavae industrial earphones
hahahahahahaa ni hatari heshima kwako na kwake piamkuu usifanye utani na mshana jr aisee anaweza nitokea usiku
asante mkuu ..hahahahahahaa ni hatari heshima kwako na kwake pia