Nihabari za kushtusha kwa wapenzi wa muziki hususani R n' B kwa kumpoteza kipenz chao jana majira ya sa5 usiku kwa ajali yandege akitokea finland akienda australia katika moja yakazi zake. Si mwingine ni beyonce johnson a finland underground r n b female artist!
kweli jamvi limevamiwa! Hata ujumbe wa utambulisho wako ulionyesha shaka kubwa juu ya integrity yako! Sitosoma thread yoyote utakayopost wewe kuanzia leo!
Niliposoma heading nilipata mshtuko, nilipofungua thread nikabaki kucheka, kweli beyonce jina kubwa, nitatafuka girl friend wa jina la Beyonce nikikosa nitambadili wa sasa jina