Beware when having SEX!

Erotica, nimejaribu kutafuta kwa kiingereza maana ya jina erotica na hichi ndicho nilichokipata · pl. n. [treated as sing. or pl.] erotic literature or art.


Hii uluyoandika na ungio uliloweka ni fasihi tosha!
Aksante Mama!

Ndimi Bazazi!
​


Erotica comes from the word erotic, Erotica maybe used

as a verb or noun of something etotic related. Ikija kwangu

ukitaka kuja maana yake ni ile tu to do with love, sex, romance and Ecstasy!
 
Haswa,Unajua kaniaminisha kuwa yeye ni mwanamke siku nikijua kuwa ni dume la mbegu nitakuwa disappointed sana.



No WOman can stand on top because She is put there.

Come this way uhakiki papito..... mwaaaaaah!
​
 
kirusha roho ni kitu kizuri au kibaya? wawe kama mama yao? hivi umewahi waona?

hio ni picha ya ultra sound niliyopewa clinic ya Mzizi mkavu.


Yaani mama yao mtupu...hizo pozi si unaona....nani kama Erotica na mapacha wake wa kichotara
 
Last edited by a moderator:
Yaani mama yao mtupu...hizo pozi si unaona....nani kama Erotica na mapacha wake wa kichotara

Kipi hicho Erotica? Halafu kwanini Kaunga asiniambie mwenyewe? Ushawahi kuona mtu anaenda kanisani kuoa wanawake watatu kama yule wa DRC Congo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…