Jambo usilolijua, ni sawa na usiku wa giza. Malaki ya Wachina wamehamia ulaya kwaajili ya betting, we unakandya. Kama inakushinda kwenye kucheza, fungua hata ofisi yake uwe wakala maana nayo ni fursa tosha. Sisi tunaocheza, tutakuwa wateja wako.

Huo muda unaopoteza kwenye kubet ungeweza kufanya mambo mengine ya msingi na ukapata mtaji wa biashara.
Huwezi kupata mtaji kwa betting, sana sana utakuwa teja wa kubet.