Jambo usilolijua, ni sawa na usiku wa giza. Malaki ya Wachina wamehamia ulaya kwaajili ya betting, we unakandya. Kama inakushinda kwenye kucheza, fungua hata ofisi yake uwe wakala maana nayo ni fursa tosha. Sisi tunaocheza, tutakuwa wateja wako.Betting sio biashara kwa anayebeti ila ni burudani na starehe kama michezo mingine, betting ni biashara kwa bookers na si vinginevyo