Betting sio biashara halali

Betting sio biashara halali

Hujui unachokizungumza.

Ngoja nikupe limu kidogo kwa kukujibu kwa hoja kabisa ili uelewe biashara hii ilivyo halali.

Je, Biashara halali ni ipi? Biashara halali ni ile ambayo ipo kwa mujibu wa sheria za nchi, kama nchi kupitia serikali imeridhia na kuruhusiwa kuendeshwa nchini humo basi hiyo biashara ni halali. Hii pia huambatana na usajili pamoja na utambuzi.

Kubeti (betting) inatambulika rasmi nchini na ipo chini ya Tanzania Gambling Board.

Twende kwenye hoja zako;
1. Unajua maana ya Odds? Hiyo ndiyo thamani halisi ya Betting slip yako. Kama hujui kajisomee ili ujue maana yake. Ukiangalia uwiano wa kutokea kwa Ubashiri wako, bila shaka zinalandana. Endapo timu itaonekana kuwa na uwezekano Mkubwa wa kushinda ndivyo hivyo mtu atakapokuwa na kiasi kidogo cha kubashiri na kushinda.

2. Betting kama ilivyo biashara zingine na uwekezaji, ni biashara yenye risk kubwa sana kulinganisha na biashara zingine nyingine. Kutokana na kuwa na risk kubwa pia ina higher rate of return. Sasa uhalali wa hoja yako ya kusema kuwa betting inadanganya vijana kuwa ni rahisi i wapi?

3. Mwanzoni kabisa nimekuambia kuwa hujui unachokizungumza na ndiyo maana hujui ninkwa kiasi gani watu wanavyohangaika kuangalia katika predicting sites na kuangalia uwezekano wa kupatia katika ubashiri. Kuangalia rekodi za timu zinapokutana, kuangalia nafasi ya timu katika ligi, kuangalia idadi ya mechi zzilizoshinda na hata kuhusisha utabiri wa nyota ya timu husika ni njia za kufanikisha ubashiri uwe mubashara na mkeka ukubali.

4. Ukiliwa ni faida kwa aliyewekeza (mwenye betting) na ukila ni faida kwako. Huwezi tu from no where ukaanzisha kampuni ya kubet. Lazima uwe na mtaji ili ukiliwa hata kabla hujaingiza watu waweze kupata fedha zao. Kwa hiyo nadharia yako ya kusema kuwa ni ukusanyaji kwa ajili ya watu wachache ni Uongo . Alafu pia, mbona kuna kampuni za betting zinafilisika baada ya kuliwa tu? Tulia hapo acha biashara ifanyike.
WELL SAID MKUU.

Na kwa kumsaidia huyu MAKRITA ni kwamba kwa Tanzania ili usajili kampuni ya Betting lazima uwe na mtaji wa Shilingi Bilioni MBILI au zaidi.
 
Katika orodha ya matajiri wakubwa duniani, africa na hata tanzania, hebu nitajie waliofika pale kwa kutumia betting, ili tuwatumie kama mfano kuwashawishi watoto wetu wakazane na kubet zaidi.
Tajiri gani atakwambia ukweli wa uhalali wa utajiri wake,yapo mengi haramu watu wamefanya kuwa matajiri ila hakuna atakayekwambia ukweli,miongoni mwa hao matajiri unaowajua wewe kuna wengine walishapita pita kwenye haramu ambazo kwa namna moja au nyingine zimewafikisha walipo na usitake kutuaminisha pesa za betting ndo haramu pombe,cocaine,sigara etc pia biashara haramu na ndo maana kuna nchi zingine km za kiarabu ukienda hivi vitu ni adimu kuvipata mm nilidhani ungeongelea kwa upande wa dini kila kidunia betting ni halali na ndo maana wanalipa kodi tena kampuni za betting ni miongoni mwa walipaji kodi wazuri tu
 
Kubet ni jambo la hatari sana. Kwanza ni 'habit forming' yaani ukishazoea kubet huwezi kuacha. Utaiba pesa au uuze vitu vya nyumbani kwako ili mradi upate pesa za kubet. Unazoea kama vile mtu anavyokuwa mtumwa wa kuangalia picha chafu (pornography). Pili kama Makirita alivyoandika, kwenye nchi za wenzetu betting inafanyika kwenye maeneo maalum tu (yaani kwenye casino tu). Huko hakuna mtoto anayeruhusiwa. Hapa kwetu hata watoto wa shule wanabet. Wanajengewa mazoea mabaya sana. Tatu wanaobet wanadhani wanaweza kupata pesa kirahisi. Jiulize: Kama kila mtu anayebet anapata pesa kama alivyobet je, huyo mwenye kampuni inapolipa watu inapata wapi pesa za kulipa watu waliobet wakapata? Lazima ninyi mnaobet mjue kwamba wenye hayo makampuni wanapata mabilioni wakati wewe ukibet elfu 20 labda unapata laki tano ukibahatisha. Kama wewe unabet hebu andika mzigo unaoweka kwa miezi mitatu ulinganishe na kiasi unachoshinda kwa wakati huo. Utaona wazi kwamba utakuwa umeshakula hasara kubwa. Nne na mbaya zaidi ni kwamba unajijengea mazingira ya kuzoea kubahatisha mambo yako badala ya kuyapangilia kiakili
Dah! Wewe jamaa
 
Mnatupigia kelele tu humu wengine kazi yenu ni kuhonga malaya tu,harafu leo hii mnasema niache kubet!!! Kubet ni mchezo wala sio biashara kwamba kila cku lazima uifanye. Mimi naweka buku kwa wiki au kwa cku,hata nikiliwa wew inakuhusu? Wewe honga hao malaya wa buguruni,mim niache niitumie Nguvu ya Buku (1000) kwenye ubashiri.
 
Hujui unachokizungumza.

Ngoja nikupe limu kidogo kwa kukujibu kwa hoja kabisa ili uelewe biashara hii ilivyo halali.

Je, Biashara halali ni ipi? Biashara halali ni ile ambayo ipo kwa mujibu wa sheria za nchi, kama nchi kupitia serikali imeridhia na kuruhusiwa kuendeshwa nchini humo basi hiyo biashara ni halali. Hii pia huambatana na usajili pamoja na utambuzi.

Kubeti (betting) inatambulika rasmi nchini na ipo chini ya Tanzania Gambling Board.

Twende kwenye hoja zako;
1. Unajua maana ya Odds? Hiyo ndiyo thamani halisi ya Betting slip yako. Kama hujui kajisomee ili ujue maana yake. Ukiangalia uwiano wa kutokea kwa Ubashiri wako, bila shaka zinalandana. Endapo timu itaonekana kuwa na uwezekano Mkubwa wa kushinda ndivyo hivyo mtu atakapokuwa na kiasi kidogo cha kubashiri na kushinda.

2. Betting kama ilivyo biashara zingine na uwekezaji, ni biashara yenye risk kubwa sana kulinganisha na biashara zingine nyingine. Kutokana na kuwa na risk kubwa pia ina higher rate of return. Sasa uhalali wa hoja yako ya kusema kuwa betting inadanganya vijana kuwa ni rahisi i wapi?

3. Mwanzoni kabisa nimekuambia kuwa hujui unachokizungumza na ndiyo maana hujui ninkwa kiasi gani watu wanavyohangaika kuangalia katika predicting sites na kuangalia uwezekano wa kupatia katika ubashiri. Kuangalia rekodi za timu zinapokutana, kuangalia nafasi ya timu katika ligi, kuangalia idadi ya mechi zzilizoshinda na hata kuhusisha utabiri wa nyota ya timu husika ni njia za kufanikisha ubashiri uwe mubashara na mkeka ukubali.

4. Ukiliwa ni faida kwa aliyewekeza (mwenye betting) na ukila ni faida kwako. Huwezi tu from no where ukaanzisha kampuni ya kubet. Lazima uwe na mtaji ili ukiliwa hata kabla hujaingiza watu waweze kupata fedha zao. Kwa hiyo nadharia yako ya kusema kuwa ni ukusanyaji kwa ajili ya watu wachache ni Uongo . Alafu pia, mbona kuna kampuni za betting zinafilisika baada ya kuliwa tu? Tulia hapo acha biashara ifanyike.
Mkuu umemjibu vema. Kabla ya kuleta hayo mawazo yake alitakiwa kufanya uchunguzi kwa kina. Inaonyesha hata terms and conditions za betting hazijui.
 
Sijasema walipata utajiri kwa kubet bali huo ni mchezo wao pendwa na wao ndyo walioanzisha na wanahisa na kuidhamini hyo michezo nenda las vegas marekani ujionee lile ni jiji la michezo ya kubashiri. Maana ya mchezo ni ule ama uliwe au ushinde au ushindwe.
Ni kweli kabisa,
Ila wao wanacheza kama sehemu ya burudani, na siyo mkakati wa kupata fedha, kama ambavyo vijana wengi wa kitanzania wanajidanganyw.
Unakuta mtu ana elfu 2 anapanga kwenda kubet apate elfu 20 ya kuendesha maisha yake, huu ndiyo ujinga unaoumiza vijana wengi.
 
Achana na maisha ya watu sio lazima tufuatishe mawazo yako ..
Hujalazimishwa kusoma wala kucoment mkuu,
Sijakuletea ulipo usome,
Nimejipa wajibu wa kutoa elimu sahihi kwa wale wanaoangamia kwa kukosa maarifa sahihi, huitaki elimu hii pita tu mkuu.
 
Kubet ni jambo la hatari sana. Kwanza ni 'habit forming' yaani ukishazoea kubet huwezi kuacha. Utaiba pesa au uuze vitu vya nyumbani kwako ili mradi upate pesa za kubet. Unazoea kama vile mtu anavyokuwa mtumwa wa kuangalia picha chafu (pornography). Pili kama Makirita alivyoandika, kwenye nchi za wenzetu betting inafanyika kwenye maeneo maalum tu (yaani kwenye casino tu). Huko hakuna mtoto anayeruhusiwa. Hapa kwetu hata watoto wa shule wanabet. Wanajengewa mazoea mabaya sana. Tatu wanaobet wanadhani wanaweza kupata pesa kirahisi. Jiulize: Kama kila mtu anayebet anapata pesa kama alivyobet je, huyo mwenye kampuni inapolipa watu inapata wapi pesa za kulipa watu waliobet wakapata? Lazima ninyi mnaobet mjue kwamba wenye hayo makampuni wanapata mabilioni wakati wewe ukibet elfu 20 labda unapata laki tano ukibahatisha. Kama wewe unabet hebu andika mzigo unaoweka kwa miezi mitatu ulinganishe na kiasi unachoshinda kwa wakati huo. Utaona wazi kwamba utakuwa umeshakula hasara kubwa. Nne na mbaya zaidi ni kwamba unajijengea mazingira ya kuzoea kubahatisha mambo yako badala ya kuyapangilia kiakili
Hakika,
Wengi hawaoni madhara ya muda mrefu kwa huu mchezo wa hovyo.
Ni janga kwa taifa, pale ambapo vijana wanategemea kubahatisha kama njia ya kuingiza kipato.
 
Sasa mkuu kama 50cent anayeingiza dola laki 2 kwa kila SAA kutokana na Muziki pamoja na Investments zake anabet sembuse sisi ambao hatuna uwezo wa kuingiza hata Milioni 2 kwa siku...???
Kwahiyo akibet 50 cent ndo uhalali wa wewe kubet?
Kwanza umemfatilia huyo 50 vizuri au una habari za juu juu za kujishawishi ubet?
Unajua kwa nini alifile bankruptcy?
 
Tajiri gani atakwambia ukweli wa uhalali wa utajiri wake,yapo mengi haramu watu wamefanya kuwa matajiri ila hakuna atakayekwambia ukweli,miongoni mwa hao matajiri unaowajua wewe kuna wengine walishapita pita kwenye haramu ambazo kwa namna moja au nyingine zimewafikisha walipo na usitake kutuaminisha pesa za betting ndo haramu pombe,cocaine,sigara etc pia biashara haramu na ndo maana kuna nchi zingine km za kiarabu ukienda hivi vitu ni adimu kuvipata mm nilidhani ungeongelea kwa upande wa dini kila kidunia betting ni halali na ndo maana wanalipa kodi tena kampuni za betting ni miongoni mwa walipaji kodi wazuri tu
Endelea kujidsnganya hivyo hivyo,
Na endelea kubet,
Siku utakapozinduka, utaendelea kulaumu serikali kwa maisha yako magumu.
Kila la kheri.
 
Kwahiyo akibet 50 cent ndo uhalali wa wewe kubet?
Kwanza umemfatilia huyo 50 vizuri au una habari za juu juu za kujishawishi ubet?
Unajua kwa nini alifile bankruptcy?
Mimi nilijua uhalali wa jambo lolote unatokana na mamlaka husika.

Ckuwahi kujua kwamba ili biashara iwe halali lazima ihalalishwe na MAKRITA AMANI.
 
Endelea kujidsnganya hivyo hivyo,
Na endelea kubet,
Siku utakapozinduka, utaendelea kulaumu serikali kwa maisha yako magumu.
Kila la kheri.
Acha upumba hakuna biashara halali hapa mjini,labda ukalime mpunga ifakara waache watu wa beti

hata kubeti kwenyewe sio bure lazma ufanye kazi ndo upate hela ili ukabeti

na si utuambie biashara gani halali wewe unafanya so watu ndo wakusikilize
 
Wakipiga hela wanafura afu wanarudisha zote kwenye kubet, madhara ni long term huwezi ona leo. Kuna kitu kinaitwa pathological gambling ndo hatua ya mwisho, apo ukisha anza chomoa tairi ya gari ya mkeo na kwenda kuuza ili uka gamble
 
Mtoa mada utakuwa umeliwa sana kwa kubet hovyo hovyo mpaka umegeuka kuwa mwanaharakati. Me siwezi kuacha kubet kabisa aisee, na ikitokea serikali imezuia huu mchezo, naweza kuhama kwenda kuishi nchi ambayo mchezo huu upo.

Sijawahi kufanya biashara inayonipatia faida nyingi kama hii ktk maisha yangu. Me daily huwa natafuta 1.60 or 1.80 ya odds, naweka milioni moja, naondoka zangu. Nna mwezi wa kumi sasa mfululizo napata faida ya kati ya laki nne mpaka laki sita kila siku kwa mtaji wangu huo wa milioni moja.

Nakushangaa sana unavyoeneza uongo huo wa uharamu. Ni bora kwenye kujenga hoja yako labda ungetuhusia kiimani/kiroho walau ungetushawishi kwa kumuhofia mungu wetu.
 
Naunga hoja asilimia 100% ukiwakuta vijana ndiyo wamekaa wanabeti utafiki wapo shule wanajisomee kwa maandalizi ya NECTA
 
Back
Top Bottom