BETTING CRAZE

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,738
3,198
kuna vijana wamegeuza hii pata potea kama sehemu ya maisha! kuna vijana wanalia na wengine wanacheka.
Naamini hii ni kama kamali zingine vijana wajihusishe na kazi za maana kuliko hii.Nimeona taarifa ya habari kenya wiki nzima (CITIZEN TV) inaeleza
Wahanga wa hii kamali na namna serikali.yao isivyonufaika na kodi kutokana na mchezo huu.TRA sijui kama wao wananufaika na ajira hii ya vijana au ni jipu lingine.
 
Back
Top Bottom