Sina kosa dhamira yangu iko safi...nadhani kati ya watu waaminifu duniani mimi ni mmoja wao
Mkuu usiogope hata kidogo kwa hawa ndg zetu, mama zetu, wake zetu, dada zetu nk hicho ni kitu unaweza kusema ni common kwao. Binafsi ukiniuliza huwa ni kitu gani kwa kweli sujui hata kidogo na kwa sasa sidhani kama nahitaji kujua huwa wanasumbuliwa na kitu gani. Ila ukweli inasumbua sana, inakera sana pindi hiyo hali inapotokea na mbaya zaidi majibu yao ni kama ulivyomnukuu huyo mchumba wako, kwamba hakuna tatizo ili hali wewe unaona utofauti.
Iliwahi kunitokea mara ya kwanza kwa mke wangu bila experience yoyote kwa takribani siku mbili ama tatu, ilinikera, ilinikwaza. Sasa siku moja katika maongezi na mama mmoja mtu mzima mwenye age ya around 52, ni staff mwezangu lakini kama yangu na pia ni mama mchungaji, sasa katika maongezi tukafikia kuzungumzia hiyo situation kwa wanawake, alinihoji kwa ufupi sana kuwa "hivi hiyo hali huwa inawakera sana" mwisho wa kunukuu. Kumbe basi nikajua hii kitu huwa ni common kwa wenzetu na kuna kipindi inatokea na ni ya mpito, usihofu mkuu.
Aidha pia niliwahi kuambiwa kuwa Japan hakuna mameneja ama viongozi wa ngazi ja juu wanawake kwa level za maamuzi labda huyu mwanamke huyo awe wa umri mkubwa maana, kwa umri ,mdogo ama wa kati inasemekana (sina hakika hapo, naomba nisihukumiwe na wanawake) ya kwamba kuna kipindi fulani wanapatwa kama na ukichaa fulani hivi na baadaye hurudi kwenye hali ya kawaida, sasa basi kwa kuwa wao wanataka positive output kwenye kazi zao hawataki kusikia hizo excuse na mambo kama hayo hivyo wanawekwa pembeni.
Mwisho kabisa, narudia usigope, kama una wito wa ndoa itika na Mungu atakuwa pamoja nanyi hizo ni changamoto ambazo ukiwa mwenyewe zitakuwa zaidi ya hapo.
Kwani hicho kisirani hajawahi kukuonyesha siku za nyuma?Namaanisha ndio mara ya kwanza kumuona akiwa katika hali hiyo?
Kuna baadhi ya wanawake wakiwa katika siku zao ( Hedhi ) huwa na tabia hiyo..! Wengine huwa na hasira za namna hiyo wakiwa katika kipindi cha Ovulation..!
Mapenzi ni uvumilivu ndugu yangu..! Hata yeye bi dada kuna mambo atakuwa anakuvumilia..! Kila la heri..!
Hivi kosa ni kutokuwa muaminifu tu?
Give her time and space. This weekend muache, zaidi ya goodmorning na goodnight, punguza mawasiliano. When she is ready mfuate.
Najua inabore sana, hata nami sipendi mashauzi yaso na msingi. Huenda it has something to do with HER and not you, but still alitakiwa akuambie tu.

0siwaseme sana wanawake, mbona hata mm nimekumbana na tabia kama hiyo kwa upande wa wanaume? Hata sasa hivi nimenuniwa week sasa, na sielewi nn kinaendelea. Basi hicho kichaa hata nyie wanaume mnacho. Ila tumezoea tatizo/tabia fulani akiwa nayo mwanamke ndio inakuwa 'big deal'
huu tunauita ukweli mchungu mweeeeeehakupendi unalazimisha penzi.
Fuatilia utaamini maneno haya.
mi naona hapa some issues tunazi exaggerate tu
Kaka mto hauvukwi nyumbani, mpaka sasa huna ndoa yanini kuogopa? Wewe mwenyewe ni product ya ndoa, kwa nini uogope taasisi ambayo ni asili yako! Mimi na Preta raha mustarehe, dadangu FP yupo kwa taasisi kwa zaidi ya miaka 12 mambo yake muswano, King'asti mshenga wangu kwake ndoa ipo kamili gado! Ndugu usitumie mifano mibaya kuvuruga/kufifisha uzuri wa sakramenti hii adhimu na takatifu!Wadau;
Ndoa ni ndoano.kwa maisha ya sasa ni vigumu sana kuwa na ndoa yenye furaha,ni bahati.Usanii umekuwa mwingi sana.Uongo ndo routine,sio kwa mke wala kwa mme.Kinachotofautiana ni uwezo wa watu kuhimili mikiki ya ndoa hizo.Lakini zote ni majanga tu.
Mfano.Mimi na mchumba wangu kwa wiki sasa namwona hayuko sawa ,nimetumia mbinu nyingi sana kujua ni nini shida,nimemuuliza taratibu kwa mapenzi ya hali ya juu.Lakini best ananiambia hana shida yuko sawa tu.Sometimes namsemesha hasikii narudia kama mara tatu alafu anashtuka kwamba namuuliza yeye.Yaani hayuko na mimi.Hasa tukiwa kwenye gari nadrive namwona kabisa hayupo na mimi kimawazo.Hii ishu imenikwaza na kunifikirisha sana,Kwamba kama huu ni Uchumba tu,Je ndoa itakuwaje,Si majanga tu.Mtu hayuko sawa na hasemi,sasa mi ntamfanyaje jamani,hebu nishaurini,naogopa mwenzenu
Wakikua wataelewa. Unajua nikiwa mdogo nilidhani kwenda shule is the worst thing that could happen to me.... Now i know better
...kwanza ndoa na uchumba ni vitu tofauti kabisa,pili tatizo lako binafsi haliwezikuwa janga la taifa,tatu unaonyesha unaudhaifu mkubwa wa kuhandle mahusiano. Ushauri wangu pata semina ya uchumba wewe na mpenzi wako kisha baada ya ndoa pata semina za ndoa. Kwa uzoefu wangu semina za kiroho zinamsaada zahdi...
Wadau;
Ndoa ni ndoano.kwa maisha ya sasa ni vigumu sana kuwa na ndoa yenye furaha,ni bahati.Usanii umekuwa mwingi sana.Uongo ndo routine,sio kwa mke wala kwa mme.Kinachotofautiana ni uwezo wa watu kuhimili mikiki ya ndoa hizo.Lakini zote ni majanga tu.
Mfano.Mimi na mchumba wangu kwa wiki sasa namwona hayuko sawa ,nimetumia mbinu nyingi sana kujua ni nini shida,nimemuuliza taratibu kwa mapenzi ya hali ya juu.Lakini best ananiambia hana shida yuko sawa tu.Sometimes namsemesha hasikii narudia kama mara tatu alafu anashtuka kwamba namuuliza yeye.Yaani hayuko na mimi.Hasa tukiwa kwenye gari nadrive namwona kabisa hayupo na mimi kimawazo.Hii ishu imenikwaza na kunifikirisha sana,Kwamba kama huu ni Uchumba tu,Je ndoa itakuwaje,Si majanga tu.Mtu hayuko sawa na hasemi,sasa mi ntamfanyaje jamani,hebu nishaurini,naogopa mwenzenu
Wadau;Ndoa ni ndoano.kwa maisha ya sasa ni vigumu sana kuwa na ndoa yenye furaha,ni bahati.Usanii umekuwa mwingi sana.Uongo ndo routine,sio kwa mke wala kwa mme.Kinachotofautiana ni uwezo wa watu kuhimili mikiki ya ndoa hizo.Lakini zote ni majanga tu.