mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Habari wadau nitatapa wapi betri ya mobile wifi ya aina hiiView attachment 2025971
Hili battery lilinitesa sana, kkoo zipo sema inabidi uende na ki mifi chako utest battery mbalimbali. Aggrey kwenye simu kule.Habari wadau nitatapa wapi betri ya mobile wifi ya aina hiiView attachment 2025971View attachment 2025972
Ilikutesa aje mkuu? [emoji3]Hili battery lilinitesa sana, kkoo zipo sema inabidi uende na ki mifi chako utest battery mbalimbali. Aggrey kwenye simu kule.
Hizo battery zipo nyingi ila haziwashi mifi hata kama Volt, pin na size ni sawa. Mpaka uje upate inayowasha unaweza chukua muda sana.Ilikutesa aje mkuu? [emoji3]
Hahaa [emoji23] nimekupata! Hapo ni muhimu kumbe kwenda na MiFi yako ukakague.Hizo battery zipo nyingi ila haziwashi mifi hata kama Volt, pin na size ni sawa. Mpaka uje upate inayowasha unaweza chukua muda sana.